Tatizo lilianza baada ya wanaCCM mtandao kudhania wakimuondoa hayati JPM watafanikisha mambo yao. Hali imewageukia vibaya na wanatawala kwa tabu

Tatizo lilianza baada ya wanaCCM mtandao kudhania wakimuondoa hayati JPM watafanikisha mambo yao. Hali imewageukia vibaya na wanatawala kwa tabu

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,281
Reaction score
7,061
Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka.

Naona hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa kumuondoa hayati JPM ambae alionekana kuwazibia mianya yao ya upigaji
 
Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka.

Naomq hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa na kifo cha hayaji JPM ambae alionekana kuwadhibia mianya yao ya upigaji
Hakuna suruhu inayopatikana kwa kumuua mwingine, damu ya mtu haipoteia bure. Usipojulikana leo, utajulikana kesho na kama sio kesho basi ni keshokutwa na hapo ujue kisasi kitakuandama tu
 
Alikwenda Uingereza alipokuwa anafanya shahada ya pili kwa matibabu ya moyo na maombi ya michango yalitolewa na chuo na kuchapishwa kwenye gazeti la Daily News.
 
Back
Top Bottom