Tatizo la uume kusimama moja kwa moja

Tatizo la uume kusimama moja kwa moja

Niaje wajuba!

Kuna jamaa yangu hapa uume / warhead yake imesimama moja kwa moja Leo ni siku ya tano anashindwa afanyaje,

Mkasa upo hivi alikula demu wa jamaa lwa kumhonga Hela tangu siku hiyo haijalala, uzuri kinachomsaidia ni kwamba jamaa ana kibamier,
Mpeni ushauri mwanetu
Tego,
 
FB_IMG_1751346203349.jpg
 
Niaje wajuba!

Kuna jamaa yangu hapa uume / warhead yake imesimama moja kwa moja Leo ni siku ya tano anashindwa afanyaje,

Mkasa upo hivi alikula demu wa jamaa lwa kumhonga Hela tangu siku hiyo haijalala, uzuri kinachomsaidia ni kwamba jamaa ana kibamier,
Mpeni ushauri mwanetu

Hii inaitwa Priapism, uume kusimama kwa mda mrefu.

Moja ya vitu vinavyoweza kusababusha ni matumizi ya kuongeza nguvu za kiume
au wakati mwingize michezo ya kukunja uume wakati umesimama.

Tatizo hutokea pale veni na ateri vinapoungana. Matokeo yake ni damu kupita nila kizuizi na kujaza misuri ya uume.

Jatua unazoweza kuchukua ni:
1: Kufanya shughuli inayoweza kukuondoa kwenye wazo husika kama kukimbia kwa kupanda ngazi au mtu kukugonga sehemu yoyote ya mwili kama kisigino, ili kupata maumivu na kupoteza concentration kwenye suala la uime.

2: Ikishindikana namna moja hapo juu, ni kufika hospitali, kuna jinsi ya kuondoa damu husika na uume husinyaa.
 
Niaje wajuba!

Kuna jamaa yangu hapa uume / warhead yake imesimama moja kwa moja Leo ni siku ya tano anashindwa afanyaje,

Mkasa upo hivi alikula demu wa jamaa lwa kumhonga Hela tangu siku hiyo haijalala, uzuri kinachomsaidia ni kwamba jamaa ana kibamier,
Mpeni ushauri mwanetu
Huyo rafiki yako ni wewe,
Dawa ya huo ungangari ni mbususu tuu.

Tafuta mrembo wa haja jioni hii ukeshe nayo hadi kesho mchana, mashine itakuwa sawa
 
Mwambie achukue mfuko wa kufungia barafu awake nzi aliyemsumbufu halafu aibane kwenye kikojoleo atapona na kuja kunishukuru.
 
Wewe umejuaje kama uume wa mwanaume mwenzako umesimama siku ya 5?hapa kuna mawili huenda ni wewe au jamaako kakuzibua mtaro
 
Aisee kwanza niseme tu hilo tatizo ni tego la kishirikina limempata.

Cha kufanya aende kwa wataalamu wa uganga wamsaidie.
 
Utakuta huyu naye anamshangaa Doto magari kutaka kuwa mbunge
 
Back
Top Bottom