Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Upungufu wa nguvu wa kiume husababishwa na ukosefu wa pesa money hela
Kingne ukosefu wa chakula bora kwa ajili penis
Kingne kinachosababsha ukosef wa nguv za kiume ni maishaaaaaaa
 
Kwa uelewa wangu,

Upungufu unatafsiriwa na wanawake hoja zifuatazo

1. Upungufu uwezo wa kuusimamisha Uume palipo na msisimko wa kingono.
(Dudu limelala fofofo)

2. Upungufu wa uwezo wa kurudia tendo zaidi ya Mara moja.
(Kimoja TU chali)

3. Ulegevu ya misuli ya Uume kusimama imara wakati wa tendo.
(Unakua na dudu legelege wakati wa tendo)

4. Kuwahi sana kufika kileleni
(Yaani Unapiga bao la jogoo, tako tatu TU wazungu tayari hao)
 
kula dona! kula nyama choma, noah! fanya mazoezi, hata kutembea ni mazoezi! anyway sikumbuki vizuri, lakini mara ya mwisho kuonana na demu niliacha BAO TISA, mpaka leo bado ananitafuta turudie tena! muache chips kabisaaaaaa! goli moja hata kama ni viwango vya juu huwezi kumaliza haja za mwanamke, kama ni hivyo basi BAA TUNGEKUNYA MOJA TUU BASI!
Acha uongo, alikutafuta una hela ?
 
Ukisikiliza ushauri wa jamii forum unaweza kupotea, watu wengi wanakimbilia kwenye swala la nguvu za kiume sababu ndio story za mtaani na kijiweni lakini katika mechanism ya kusimamisha uume inategemea blood presha usafirishaji na mzunguko wa damu mwilini kuwa sahihi ili uume kuweza kusimama, pia inategemea mapigo ya moyo pia kwahiyo inawezekana ubovu katika mwili ukaonekana sehemu nyingine haina maana unamatatizo ya nguvu za kiume
 
Wakuu mm sio Mtaaramu wa afya ila Nina swali ambalo ningependa nipate majibu ambayo yatakua na msaada kwa wengi.

Binafsi mm nimewah kutumia vigra katika kuimarisha tendo Tena matumizi yangu nilikua nafanya hivi;

Ikitokea nimepata pis Kali ambayo nilikua naisotea kitambo nilikua naongeza nguvu ya ziada(Vigra) kwa siku hiyo ili nimkomoe huyo dem.

Utumiaji wangu ulikua ni hivi, katika kile kidonge kimoja nakikata vipande vi nne, katika kila kipande kimoja nakigawa mala mbili yaan kidonge kimoja nakaa nacho miezi zaid ya miwili( kipindi Cha maisha ya usingo) lakin madem zangu nilio kua nakutana nao mala ya kwanza nikikutana nao mala ya pili stumii dawa hiyo na baada ya kuwa na dem maarumu wa mda wote na kuoa niliacha matumizi ya dawa hiyo.

Nb skutumia kwakua nilikua sina nguvu ila nilitumia ili nimkomoe dem niweze kupiga bao 4-5 kwa usiku mmoja.

Baada ya matumizi hayo katika kipindi kile nilifahamishwa kua matumizi ya dawa hizi yana athari kwa mwanaume nikauliza dawa ya isiyo kua na athari wataaramu kanambia nitumie, tangawizi+kitunguu saumu+ mdarasini + asali, nikatumia lakin skupata msisimko wa kutosha Kama ule wa kwenye vagra. Katika maisha hayo skuwah tena kujihusisha na mambo ya kuongeza nguvu za ziada kwakua miaka mitatu sasa nimetulia na dem mmoja.

Swali: je Kuna dawa ya asili mfano wa kitungu saumu+ mdarasini ambayo inaweza kufanya kazi sawa na vagra? Kama waijua waweza kutwambia ni ipi na matumizi yake yapoje?

maana hili swala vijana wa Sasa tuna taka kuwakomoa Malaya ambao hawakomoeki.
 
🤣🤣 kweli watu hutafuta kile wanachokitaka! Wakati mi nawaza kuongeza miburungutu ya fedha huyu anawaza kukomoa papuchi..
 
kweli watu hutafuta kile wanachokitaka! Wakati mi nawaza kuongeza miburungutu ya fedha huyu anawaza kukomoa papuchi..
Mkuu ndo maana halisi ya watu hatufanani nazani ukitembea kwenye jukwaa la biashara uchumi na ujasilia Mali utakua thread zangu kule za kibiashara. Wakati huu naandika hii thread nipo ndo wakati nimetoka kukusanya mauzo yangu hapa nawaza niingie chimbo gani nikajipoze na kitimoto swafi kabisa.
 
Mkuu ndo maana halisi ya watu hatufanani nazani ukitembea kwenye jukwaa la biashara uchumi na ujasilia Mali utakua thread zangu kule za kibiashara. Wakati huu naandika hii thread nipo ndo wakati nimetoka kukusanya mauzo yangu hapa nawaza niingie chimbo gani nikajipoze na kitimoto swafi kabisa.
Hongera mkuu
 
Wewe mtaaram vipi bhana! Hakuna dawa nzuli kwa shughuri hiyo kama viagra! Enderea tu kuitumia kwa kukata vipande mala nyingi kadili uwezavyo!!

Hiyo midarasini haisaidii chochote!! Tumia viagra kwa faida yako ya sasa na ya baadae!!!
 
Back
Top Bottom