Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Ningeshauri kama unatumia after shave zisiwe na alcohol,tafuta gentleman pride after shave ya forever living products inauzwa 25000 ni kiboko ya vipele you wil real enjoy it,its alcohol free.
 
nunua machine ya kunyolea ndevu ya kutumia umeme itakusaidia haihitaji hata utumie vyote hivyo bali ni kunyoa tu nakuendela bila vipele
 
post kama hizi inabidi ziwe zinakuwa recycled ili watu wasiulize tena masuala yale yale kila siku. Na wale waliofuata ushauri muwe mnatoa results ili kupima kama ushauri uliotolewa ulikuwa na manufaa? Elezea na njia uliyotumia,time na manufaa uliyoyapata. Tusiwe kama mmu ambako mtu anatafuta mchumba ila harudi kutuambia kama alipata au hakupata. Hivi ni vitu vinavyogusa watu wengi!!
 
ndugu wa JF huwa nasumbuliwa na mapele baada ya kunyoa ndevu maana nina ndevu mpaka kwenye shingo, sasa kama kuna njia au dawa inayoweza kunisaidia naombeni msaada wenu.

N.B kama mada ilishajadiliwa sio mbaya mkinisaidia na mimi, nawasilisha
 
Nunua home cut original,mashine ya kunyolea.Hakikisha angalau unanyoa ndevu mara 2 kwa wiki.Baada ya muda kidogo mapele yataisha.Usitumie viwembe,magic,gilete n.k tumia machine tu na usigandamize sana.Nyoa mwenyewe,pia usipake after shave au spirite.Mi zamani mapele yalinisumbua sana,baada ya kunua mashine ngozi nyororooo
 
ndugu wa JF huwa nasumbuliwa na mapele baada ya kunyoa ndevu maana nina ndevu mpaka kwenye shingo, sasa kama kuna njia au dawa inayoweza kunisaidia naombeni msaada wenu.

N.B kama mada ilishajadiliwa sio mbaya mkinisaidia na mimi, nawasilisha

pole mkuu mimi mwenyewe ilishawahi kunitokea nakumbuka nilizunguka kwenye maduka makubwa hapa Dar na mahospital makubwa Regency,AAR na Hospital ya wachina Sinza bila mafanikio nilienda kuponea sehemu moja Iringa kuna saloon ya kiume wana dawa wanaitengeneza wenyewe wanaiita Dudu Killer inamaliza matatizo yote nilinunua vichupa vinne kila kichupa ilikuwa 5000.

huwezi amini nilitumia week mbili mapele yote yalikauka. unanyoa ndevu zote Saloon unajioya vizuri halafu unachukua pamba unajichua kidogo tu japo ina maumivu makali lakini ni kiboko ngoja nicheki na huyo kinyozi kama bado anazo halafu nitakujulisha na anaweza kukutumia kwenye basi na wewe unamtumia pesa yake kwa tigo pesa tu... bahati mbaya zangu zote nilizigawa kwa watu na wao wote wamepona fresh kabisa
 
pole mkuu mimi mwenyewe ilishawahi kunitokea nakumbuka nilizunguka kwenye maduka makubwa hapa Dar na mahospital makubwa Regency,AAR na Hospital ya wachina Sinza bila mafanikio nilienda kuponea sehemu moja Iringa kuna saloon ya kiume wana dawa wanaitengeneza wenyewe wanaiita Dudu Killer inamaliza matatizo yote nilinunua vichupa vinne kila kichupa ilikuwa 5000. huwezi amini nilitumia week mbili mapele yote yalikauka. unanyoa ndevu zote Saloon unajioya vizuri halafu unachukua pamba unajichua kidogo tu japo ina maumivu makali lakini ni kiboko ngoja nicheki na huyo kinyozi kama bado anazo halafu nitakujulisha na anaweza kukutumia kwenye basi na wewe unamtumia pesa yake kwa tigo pesa tu... bahati mbaya zangu zote nilizigawa kwa watu na wao wote wamepona fresh kabisa

nitashukuru sana mkuu, mambo yakiwa tayari ni-PM
 
Mr Nokla pole sana kwa tatizo lako. Hakuna mtu anayependa mapele ila tu huwa watu wanakuwa hawafahamu njia sahihi za kuepukana nayo. Usipende kutumia Spirit na Aftershave unazoziona kwenye saloon. Tumia GENTLEMAN'S PRIDE. Ina Alovera iliyo nzuri kupakwa baada ya kunyoa. Ni aftershave ambayo haina alcohol. Ni nzuri sana kupaka kwenye ngozi ya aina yoyote ile baada ya kunyoa. Huondoa athari zote mbaya zitokanazo na kunyoa ndevu na wembe kwenye uso, shingo na sehemu nyingine za mwili. Tuwasiliane kwa email: healthwealthfirst@gamil.com pia weweza kunipigia kwa namba 0713889162

mkuu mbona nimekutumia email then kimyaa?
 
pole mkuu mimi mwenyewe ilishawahi kunitokea nakumbuka nilizunguka kwenye maduka makubwa hapa Dar na mahospital makubwa Regency,AAR na Hospital ya wachina Sinza bila mafanikio nilienda kuponea sehemu moja Iringa kuna saloon ya kiume wana dawa wanaitengeneza wenyewe wanaiita Dudu Killer inamaliza matatizo yote nilinunua vichupa vinne kila kichupa ilikuwa 5000. huwezi amini nilitumia week mbili mapele yote yalikauka. unanyoa ndevu zote Saloon unajioya vizuri halafu unachukua pamba unajichua kidogo tu japo ina maumivu makali lakini ni kiboko ngoja nicheki na huyo kinyozi kama bado anazo halafu nitakujulisha na anaweza kukutumia kwenye basi na wewe unamtumia pesa yake kwa tigo pesa tu... bahati mbaya zangu zote nilizigawa kwa watu na wao wote wamepona fresh kabisa

mkuu ntashukuru nami ukini-PM ztakapokuwa tayari kwani nami tatizo ni hilohilo! Niliacha kutumia after shave na spirit kama wengi wanavyoshauri, nikanunua homecut yangu, lakini mapele bado yanatoka! Nitashukuru ukinisaidia hiyodawa nami nijaribu hizi za kizungu naona zimekataa ngozi yangu!
 
Ukinyoa na chochote either wembe au machine, ukimaliza nenda nawa na sabuni pia jisugue vizuri na either dodoki au kitambaa then pakaa anti fungi cleam yoyot.
 
Ukinyoa na chochote either wembe au machine, ukimaliza nenda nawa na sabuni pia jisugue vizuri na either dodoki au kitambaa then pakaa anti fungi cleam yoyot.

Hahha kwani umeambiwa fungus ndio zinzleta mapele? Kwanza ww una professional gani kaka
 
Wakuu hivi ninavyo changia hapa hata shingo inageuka kwa shida! Huwa natoka mapele ambayo huniletea mpaka homa kwa maumivu makali ambayo nimekuwa nayapata! Mapele hayo hutengeneza usaha ndani na nikiminya kwa kuwa yanawasha huwa yanatoa vijimoyo vidogo kama vile majipu.

Nimetumia spirit bado haikuwa dawa na matokeo yake zimekuwa zinakakamaza ngozi, nilishauriwa niwe natumia poda lakini haija nisaidia mpaka sasa, nimesha tumia after shave kadhaa lakini bado zimekuwa zinanipa nafuu ya muda mfupi hazija nipa suluhisho la kudumu.

Aliyepona naomba ani pm dawa iliyo mponya ili niendelee kujitibu maana napata shida na kiasili mwili wangu una nywele nyingi na hata ndevu huwa hazichukui muda kukua!
I will appreciate any kind of help from you guys.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Wana jf msaada kwa anayeelewa dawa ambayo inafaa kutumia nikishave ndevu maana natokwa na vipele nimejaribu kubadilisha saloon lakini wapi(nawasilisha kwenu kwa ushauri)
 
Nunua povu la kunyolea, nyembe na dawa za kupaka baada ya kunyoa uwe unajinyoa mwenyewe nyumbani. Ni salama zaidi kiafya na huenda ikatatua tatizo lako la vipele.
 
Back
Top Bottom