hii njia ni bomba zidi kuliko nyingine yeyote ile hata mie nlipata shida sana nkashauriwa hivihivi saizi nakula bata tu kidevu soft hakuna vipele wala nini well done mkuukwanza nikupe pole...nunua machine za kukatia nywele original siyo feki,sababu haziwi za moto kwa mda mrefu..hiyoi inatakufanya ngozi yako kutoungua.nyoa na machine yako taratibu..bila kukwangua hadi ngozi then baada ya hapo chukua taulo lenye majimaji ya uvuguvugu sijafishe kwenye kidevu chako..mapele yatakwenda yanapungua taratibu mpaka kwisha,then unaweza kuendelea kunyoa kwa kusugua kidevu mpaka ndevu zote zinakwisha hapo mapele yatakuwa yalikwisha kauka mda mrefu..
Tafadhali;usipakae powder walaspirit au mafuta yoyote yale kabla kunyoa au baada ya kunyoa.
Thanx much uncle Jei Jei, Pump Patrol nlishaitumia kweli ilinipa afadhali ila tatizo likawa inafika wakati hainisadii tena. Mfano nikifungua chupa mpya naitumia then ikifika nusu hainipi tena matokeo mazuri. Ndo hapo nikaacha kunyoa kwa mashine nikaanza shaving cream ya Magic ipo kwenye tube! Ni gel like substance. Kidogo nayo imenisaidia lakini haijaweza kuondoa kabisa. Huwa kuna kipindi vinashamiri na kipindi vinapungua. Ndo maana nikaona ngoja tuexchange experiencePole sana mkuu, tatizo ulilonalo ni sawa na langu! Hata mimi nimehangaika bila mafanikio, kidevu kimekomaa balaa! By the way, kuna after shave inaitwa BUMP PATROL(sory kwa kuitangaza, ni ktk kusaidiana!) hiyo inasaidia kuondoa mapele na kufanya ndevu ziote vizuri! Lakini, INATEGEMEA NGOZI IMEHARIBIKA KIASI GANI!! Kwa uzoefu wangu haiwasaidii
wote!! Jitahidi kuosha kidevu na maji ya moto baada ya kunyoa na siku nyingine usiku, kisha paka hiyo dawa kila
siku. Hii ni uzoefu wangu, si maelezo ya kitaalam! Kwangu imenisaidia kimtindo!
Thanx much uncle Jei Jei, Pump Patrol nlishaitumia kweli ilinipa afadhali ila tatizo likawa inafika wakati hainisadii tena. Mfano nikifungua chupa mpya naitumia then ikifika nusu hainipi tena matokeo mazuri. Ndo hapo nikaacha kunyoa kwa mashine nikaanza shaving cream ya Magic ipo kwenye tube! Ni gel like substance. Kidogo nayo imenisaidia lakini haijaweza kuondoa kabisa. Huwa kuna kipindi vinashamiri na kipindi vinapungua. Ndo maana nikaona ngoja tuexchange experience
Thanx mtaalam! Ngoja niifanyie kazi nikikwama nitakuPM.pride after shave the answer inauzwa 23000 tu hata mtu anamapele ya nyuma ya shingo ambayo yanatoa usaha inaondoa yote ukinunua me nilikuwa ya kidevu yote yameondolewa na situmii maji ya moto wala nini sa hvi npo soft itafute ukishindwa ni pm
Thanx mtaalam! Ngoja niifanyie kazi nikikwama nitakuPM.