adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 10,991
- 23,201
Hata la Zanzibar sio kweli kwa sababu Muungano hauwaletei kero kubwa za kidini , hata ukisikiliza kero za muungano swala la dini halipo.Kazungumzia Zanzibar udini ndio chanzo cha kutaka kutengana.......!!!
70% ya watu duniani wanatengana sababu za udini mkuu
Mfano Muungano ukivunjika kitu gani kikubwa kitabadilika katika dini wakati wanaswali kwa Uhuru ,Wana baadhi ya Sheria zao wenyewe nk ? kama