Vielelezo vya makala na picha kuelimishana kuwa dini za kikoloni siyo za Waafrika tena!

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Nov 30, 2022
607
553
Habarini,

Hapa ni sehemu yetu ya kuelimishana juu ya kuwaamusha WAAFRIKA wote kuachana na dini za kuja na za kikoloni i.e: ukristu na uislam.

Tupia makara/maandiko na picha zinazoweza kuwaelimisha WAAFRIKA kujitambua na kuamka kwa kuelewa kuwa dini na madhehbu wanayofuata ni michongo ya kiuchumi tu kwani zote zimeingizwa AFRIKA na watu weupe i.e:wazungu na waarabu kwa minajili ya kujinufaisha wao na siyo kuwaandaa WAAFRIKA kwenda MBINGUNI kwanini haiingii akilini MUNGU atuache duniani tunahangaika na yeye akakae mvinguni.

Nina UHAKIKA kuwa MUNGU yuko hapahapa DUNIANI tunapoishi,kufa na kuzikwa hakuna cha ahera.

0.
 
Attachments

  • 1701310986694.jpg
    1701310986694.jpg
    48.3 KB · Views: 4
One would be irredeemably foolish to think that Christianity is merely human novelty and that every white, or rather every individual whose civilization was a colonial power of some sort, was also involved in or supported it.
 
Watu wamelishwa matango pori, huwaa ambii kitu kabisa,
Hatuwezi kuacha kuwaelewesha ukweli na ikibidi kuanzisha kampeni ya kutokomeza misahafu na biblia kokote ilipo kama wao walivyowaua MANABII WAETU WA KIAFRIKA i.e: Bob Marley,Marcus Gavery,Lumumba,Luther King,etc na kufuta vitabu vyote vilivyoandikwa na hao manabii wetu vilivyojaribu kuwaamusha WAAFRIKA i.e:HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRIKA by Walter Rodney ,kitabu hiki kifutwa na kupigwa marufuku na wazungu washenzi.
 
Ushauri mzuri sana
 
One would be irredeemably foolish to think that Christianity is merely human and that every white, or rather every individual whose civilization was a colonial power of some sort, was also involved in or supported it.
Ni vyema ungileta kwa kiswahili,pole kwa kukaliwa na athari za utumwa
 
Back
Top Bottom