Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 3,886
- 5,921
Watu wa dini nyingine? Unafahamu kwamba Tanzania sio Christian country, bali ni mchanganyiko wa watu wa dini zote kubwa na wale wanaojikuta na akili nyingi, atheists?
Dini ikizidi sana hugeuka ujinga.
Dini ikizidi sana hugeuka ujinga.