Tatizo la Muungano ni Uislam siyo Wazanzibari

Kazungumzia Zanzibar udini ndio chanzo cha kutaka kutengana.......!!!
70% ya watu duniani wanatengana sababu za udini mkuu
Hata la Zanzibar sio kweli kwa sababu Muungano hauwaletei kero kubwa za kidini , hata ukisikiliza kero za muungano swala la dini halipo.

Mfano Muungano ukivunjika kitu gani kikubwa kitabadilika katika dini wakati wanaswali kwa Uhuru ,Wana baadhi ya Sheria zao wenyewe nk ? kama
 
UKO SAHIHI SANA,
Katika shughuli zangu za kila siku kuna jamaangu mmoja huwa niko nae muda mwingi,ni muslim, katika stori zake za wakati wote ni mara chache sana kutotaja imani yake akihusisha na mambo mbalimbali,
Nina mashaka na mafunzo wanayopatiwa maana wengi hufanana kwa fikra kwa kiasi kikubwa
Ni mawazo yangu tu
 
Hata la Zanzibar sio kweli kwa sababu Muungano hauwaletei kero kubwa za kidini , hata ukisikiliza kero za muungano swala la dini halipo.

Mfano Muungano ukivunjika kitu gani kikubwa kitabadilika katika dini wakati wanaswali kwa Uhuru ,Wana baadhi ya Sheria zao wenyewe nk ? kama
Tatizo lenu waislamu.....waga mnakwepa ukweli.....visiwani issue ni udini......makafir hawatakiwi.....acha kurembaremba maneno mkuu
 
Mleta mada unataka kutuaminisha kwamba South Sudan (Christians) walivyojitenga kutoka Sudan ni sababu ya Uislamu?

Kuvunjika kwa Soviet (Communist/Orthodox Christians) sababu ni Uislamu?

Texas kutaka kujitenga kutoka USA tatizo ni Uislamu?

Waasi kutaka kujitenga kutoka Congo pia shida ni waislamu? This is currently in progress...

Somaliland kujitenga na Somalia pia sababu ni Uislamu?

Mgogoro wa UK, England kutaka kujitenga tatizo ni Uislamu?

Unaukumbuka mgogoro wa Biafra Nigeria? Tatizo ni uislamu?

Taiwan vs China kuna waislamu wanahusika?

In opposite direction, juhudi za Turkey kujiunga NATO sio waislamu wale?

Juhudi za Gadafi kuunganisha Afrika yote sio muislamu yule?

Walioligawa bara la Afrika (Berlin conference) ni waislamu?
Nimeipenda hii 👆👆
 
Catalonia wanataka kujitenga na Spain kwa sababu ya Uislam?

Scotland kulikuwa na vuguvugu la kujitenga na UK kwa sababu ya Uislam?

Vipi Ireland kujitenga na UK?

Vipi Biafra Nigeria?

Vipi WaTamil kule Sri Lanka?

Vipi Tibet kule China?

Vipi Flanders kutaka kujitenga na Ubelgiji? Vipi Wallonia?

Vipi Faroe Islands au Bornholm kutaka kujitenga na Denmark?

Vipi Aland kutaka kujitenga na Finland?

Vipi Corsica, Bretons, French Flanders, Savoy, Provence nk wanaotaka kujitenga na Ufaransa?

Vipi Bavaria na Saxony wanaotaka kujitenga na Ujerumani?

Vipi Venice na Sicily wanaotaka kujitenga Italy?

Watu wa Ukraine mashariki?

Wanaotaka nchi ya Singasinga Khalistan kutoka India?

Wanaotaka Republic of Cascadia, majimbo ya Kusini mwa USA yajitenge, wakristo wa Mormon wanaotaka nchi yao Deseret, Movement ya New Afrika wanaotaka nchi yenye kujitenga kwa ajili ya watu weusi, wanaotaka Republic of Alaska, Republic of New England, wanaotaka California ijitenge, Vermont ijitenge, Texas ijitenge nk, wooote hao wanataka kujitenga na USA.

Na wengine wengi, woote hao wamesukumwa na Uislam kujitenga?
Nimeipenda hii 👆👆
 
Una chuki zako binafsi juu ya uislam. Matokeo ya kasumba na matangopori uliolishwa kanisani.

Ukristo unafundisha..."waache wafu wazikane".. hii ni baada ya mtu Kuomba ruhusa kuhudhuria mazishi ya ndugu ya aliyekufa wa dini nyingine. Alinyimwa ruhusa kwa kauli hiyo hapo!

Umoja gani unauhubiri hapa?!!
Kuwa na knowledge nusu nusu ni mbaya kuliko asiye nayo kabisa.Hivi unaweza leta hilo andiko linalosema hayo maneno yalitumika baada ya mtu kutaka kumzika mtu wa dini nyingine?
 
Huwezi kuongelea dini bila kuhusisha udini ebu acha kufanya watu wapumbavu.
Kitendo cha kusema wazanzibar hawapendi muunguno kwa sababu ya uislam wao hapo unamaanisha kuwa wazanzibar ni wa dini na ndio maana hataki muungano na wabara ambao ni wakristo na ndio maana nikakuuliza kuwa huku tz hakuna waisilam mpaka nyinyi mseme kuwa wazanzibar wanawachukia wabara kisa ni wakristo?

Hizo nchi ulizo zitaja ulisha zitembelea na ukakuta watu wa nchi hizo hawapendi kuishi na watu wasio wa dini zao?
Hizo nchi ulizo zitaja hapo ukiondoa Somalia zote zina wakristo wanaishi kama raia ndani ya nchi hizo,tena Iraq kipindi cha Sadam ilisha kuwa na waziri wa mambo ya nje mkirsito na waziri mkuu mkirsito.
Nchini Iran wakristo wamepewa mpaka upendeleo wa viti maalumu ndani ya bunge la nchi hiyo.
Ukienda kwenye mataifa ya Ghuba kuna mamilioni ya watu kutoka dini mbali mbali na nchi mbali mbali,ukienda Uturuki kuna mamilioni ya watu kutoka dini mbali mbali, ukienda Malasia, Indonesia kuna mamilioni wa watu wadini mbalimbali na hakuna anaye wabugudhi.
Au ww hapo unapoishi hauishi na waisilam ?
Sasa hao waisilamu wasio penda kuishi na wasio kuwa waisilam ni wapi hao?
Alafu kati ya watanganyika na wazanzibar ni wapi wanao shinda humu wakilalamikia muungano?
Nimeipenda hii 👆👆
 
Kwanini Munang'ang'ania Muungano na Zanzibar tu? mbona hamupeleki maombi Burundi au Uganda?
Mimi ningekua raisi ningefanya umafia,

Zanzibar ningeifanya kuwa rasmi ni sehemu ya Tanganyika na sio jamuhuri.

Ambae hataki angeenda kwa babu zake Oman.
 
Wazanzibar hawataki kujifunza na kuijua historia sahihi.

Zanzibar na Tanganyika kabla ya kuja hawa washenzi wakoloni waarabu na wazungu, hizi ardhi zilikaliwa na mtu mweusi kwa maelfu ya miaka bila shida yoyote.

Shida ilianza pale mkolon wa uarabuni kuja East afrika kupitia pwani na kuweka ngome yake karibu na bahari ili iwe rahisi kwake kuingia na kutoka, pia urahisi wa kusafirisha bidhaa na resources wanazoiba East afrika na maeneo mengine, pia kwa sababu za kiulinzi na kiusalama, maeneo hayo ya pwani na visiwani kwao yalikuwa sahihi kuweka ngome zao na kuzifanya miliki haswa pale walipogundua ardhi hizo zina rutuba na zina utajiri wa kustawisha mazao mengi.

Shida ikaanza pale walipokuwa wakifanya biashara yao haramu ya kuteka na kuuza watu weusi, wakiwatoa kila pembe na kona ya Tanganyika wakiwakusanya katika masoko yao ya Utumwa huko walikoweka ngome zao, na kuwasafirisha kuwapeleka walikokujua wao, either kuwauza au kwenda kuwafanyisha shughuli wanazozihitaji wao.

Zanzibar ilijawa mchanganyiko wa watu wengi weusi na waarabu, na raia karibia wote wa Zanzibar wapo eneo hilo ama walifika eneo hilo kwa sababu ya Utumwa, kiuhalisia wazanzibar weusi ni Zao la babu zao waliotekwa Tanganyika na kupelekwa visiwani huko baadhi yao kuuzwa na kusafirishwa na waliobakia hasa wale magoigoi na baadhi yao ndio hawa ambao vizazi na vizazi wameleta hii population ya wazanzibar wa leo ambao wamesahau hii historia yao.

Siraha kuu ya Mwarabu aliyotumia kuwasahaulisha hawa watu wasahau kulipiza kisasi dhidi ya ndugu zao waliofanyiwa ukatiri ni mafundisho haramu ya dini na kuwabrainwash kupitia imani na tamaduni za kiarabu.

Leo hii wazanzibar wengi wanaijua historia ya Zanzibar baada ya Mapinduzi na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lkn ukiwauliza Nini kilichoijienga Zanzibar hawajui na hata wakijua wanapotezea na kujifanya kujisahaulisha kisa kumtetea mwarabu, ambaye kiuhalisia alitakiwa kushutumiwa na kudaiwa fidia ya kufanya ushetan wa kuuza watu na kuwafanyia kila aina ya mateso.

Kama baadhi ya mataifa mfano Taifa la haramu la wale wanaojiita waisrael wameweza kumshutumu na kumuhukumu hitra na Taifa la Ujerumani na kudai fidia za mamilion ya dollars kisa kuua raia wa kiisrael na kuwatumikisha je wazanzibar nao walishindwa vipi kudai haki yao dhidi ya hawa mashetan waliobaka na kuua babu zao? Kwanini wasidai haki yao?

Wazanzibar wanadhani adui yao ni mtanganyika lkn adui yao mkubwa ni mwarabu aliyeharibu background ya maisha yao kiimani, kiutamaduni mpaka kiutu kwa kuwafanya wawachukie ndugu zao ambao ndio asili yao yaani Watanganyika, badala yao wao wanawaona waarabu ndio ndugu zao wakati huo hao waarabu hawana muda nao, na siku ambayo watapewa Amri ya kujitawala kama wanavyodai wao, ndio siku ambayo Utumwa utawarejea rasmi, maana 90% ya umiliki wa Zanzibar utaenda kwa mwarabu huku wao wakiwa kama vijakazi wa kidini na kufanywa machokoraa ndani ya ardhi yao wenyewe.

Kama raia wengi wa kiafrika wameweza na wanaendelea kuukemea utumwa na athari zake mbona raia wa Zanzibar ndio bado wanang'ang'ana kujimilikisha kwa adui?

Yaani mtu aliyekuweka utumwani,akaua ndugu zako, akawauza na kuwatawala kwa kila aina ya utu then uje umuone wa maana na kumtetea?

Kuna namna hawa watu weusi wa Zanzibar walisharogwa akili yaani hayafikilii tena yameharibiwa akili, yameshikwa akili mpaka nafsi, huo uhuru wanaong'ang'ania ukiwauliza wanataka waufanyie nini? Majibu yao ni vituko kwakweli.

Aliye leta Utumwa&dini Afrika hakukosea na haikuwa bahati mbaya bali yalikuwa malengo ya muda mrefu ya kuitawala Afrika kupitia dini kwa kututawala kwakuzusha migogoro na tofauti za kidini, migogoro ya waafrika wao kwa wao, vita, chuki, ubinafsi, mgawanyo wa mipaka na kukuza ukabila, kiufupi Afrika kutawaliwa yalikuwa malengo ya watu weupe wote ulimwenguni kwa maelfu ya miaka.

Jiulizeni Dunia ina maelfu na maelfu ya miaka lakini kwanini historia ya Afrika inaanzia si zaidi ya miaka 2000? Je kabla ya hapo kulikuwa na matukio na historia gani Afrika?,

Jibu ni moja tu kwa muda wote huo Afrika ilishakuwa Eneo tajiri na tamanio la kila Falme ya watu weupe ambao kwa miaka yote hiyo kabla ya 2000yrs iliyopita walikuwa wakisuka mipango na mikakati ya kuitawala Afrika, ndiomaana waliingia kijanja sana kupitia biashara, na dini, na hawa ndio watangulizi wa ukoloni waliokusanya taarifa za yapi mapungufu ya watu weusi, walipogundua ni imani, yaani sisi wepesi kuamini ndipo wakaleta dini na ndio hapo wakauharibu UTU wetu mpaka leo hatujijui sisi ni nani.

Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja hakuna haja ya hizi kelele na mitengano ya kipumbavu ambayo inawanufaisha maadui.

Amkeni
 
Ni aidhaa ww huna akili au maada imekuzidi uwezo!!

Ulichojibu hakina uhusiano na maada,,,,,,
Kwaiyo ww maisha unadhan ukiwa na hela hutajadili mambo ya kisasa na yanayoizonga nchi???

Hapa unaonesha ufinyu wako wa kufikiri mkuu…..

Akili yako ni one terminal huna ufahamu wowte kuhusu nchi yako unachojua n kutafuta hela na kula kwaa akili hiii ni halali kabisa ww na mkeo wote kutawaliwa na mtu mwingine
haya mama

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Very simple waache wakae wao kama wao na uislam wao.... hiyo dini huwa haiwezi kukaa na watu wengine kwa furaha dawa ni kuwaacha...... uzuri wa uislam bwana wengi wao wana elimu ahela ...elimu dunia hawanaga so usiogope wengi huwa kichwani zero.....
Huwa nacheka sana nikiona comments za wafirwaji kama hizi. Kenyewe hapa ndo kanajiona kameongeeea na kanajuaaaa.
 
Kwahiyo mkuu wafuasi wa dini ya kiarabu ni waadilifu.......!!!
Udini ni kansa mbaya haijalishi ni mkristo au muislamu.....hata zenji wanataka kuvunja muungano kisa udini.Tatizo kubwa la waislamu ukiachana na yanayofahamika ni kubagua watu wa imani zingine na kuona sio binadamu kamili.
Na hawapendi kuambiwa ukweli kuhusu mapungufu yao
View attachment 2921816
Yes
Watu wengine wanaowaita Makafiri.
Nimetembea maeneo mengi aliyofikia Mwarabu. Nilikutana na vimisikiti tu, hakuna shule wala vyuo. Halafu wanapendwa hatari.
Kisa rangi yao.

Mkuu tunasubiri Mwendelezo wa ile Simulizi yako ya Mabrother wa kariakoo na mambo yao.
Simulizi kali sana.
Achana na Wadini hao.
 
Watanganyika walio wengi ni wamejaa upumbavu kama humu mleta mada.
Nyinyi kila siku humu mnashinda mnalalamika kuwa muungano ni wakitapeli na bora uvunjike lakini wakati huo huo mnalalamika wazanzibar kutaka kuuvunja muungano sasa tuwaeleweje?

Kuhusu Pakistan kilicho fanya Pakistan ijitenge ni sababu za kisaasa na sio za kidini maana idadi ya waisilamu walioko ndani ya India ni kubwa zaidi ya mara 2 ya waisilamu waliko Pakistan.
Acha kudanganya watu wewe idadi ya waislam india ni ndogo acha unafiki
 
View attachment 2921050

Ni ajabu sana kuona watu walio wamoja kwa makabila na tamaduni leo wanajitafautisha kwa misingi ya mkoloni na kujiona ni watu tofauti kabisa richa ya kua ni watu walewale fikaaa.

Ingawa mkoloni kawa ni chanzo kikubwa za watu kujitofautisha lakini pia imani alizoacha mkoloni ndio imekua chanzo kikubwa cha watu kujitenga hata kama ni wamoja.

Katika hili Uslam ndio sababu kubwa ya watu kujitenga na jamii zao maana usilam mara nyingi huwa vuta watu upande wa waarabu na kujiona waarabu au kuona makao makuu yapo uarabuni na kuwatenga na jamii zao

mifano:
Pakistan kutoka India (wote ni wahindi lakini ni chui na paka)
Chechenia ilitaka kujitenga kutoka Russia
Kossovo

Hivo tatzo kubwa la kujitenga kutokana na dini kwene usilam ni kawaida kwasababu ya ubaguzi au kushindwa kugeuza serikali kua ya kiislam kama vile matamanio ya waislam wengi yanavokuwaga.

Hivo bas Zanzibar inasumbuliwa na vitu viwili
1. Mabaki ya waarabu
2. Dini ya uislam

Waarabu mabaki wanatamani kurudisha serikali yao ambayo waliikalia nchi kama yao ilihali walipoka kabla hawajatimuliwa na watu wa bara.

Dini
Kama zanzibar ingekua haina usilam kusingekua na harakati za kujitenga au kubeza muungano. Kungekuepo na dini nyingine kusingekua na tofauti kabisa wote tungekua nchi moja. Lakini wazanzibar wamekua wakifundishwa kujibagua na kujitenga kama ambavyo sehemu nyingine duniani zimekua zikifanya kutokana na dini hiyo. Kwao ni bora muarabu awatawale kuliko kuwa nchi moja na watu wa dini nyingine

NB: Ni mawazo yangu binafsi.Nawaza kwa sauti haina maana ya chuki au ubaguzi

MATUSI yataonesha rangi yako halisi
= licha.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Yes
Watu wengine wanaowaita Makafiri.
Nimetembea maeneo mengi aliyofikia Mwarabu. Nilikutana na vimisikiti tu, hakuna shule wala vyuo. Halafu wanapendwa hatari.
Kisa rangi yao.

Mkuu tunasubiri Mwendelezo wa ile Simulizi yako ya Mabrother wa kariakoo na mambo yao.
Simulizi kali sana.
Achana na Wadini hao.
Tati zo lako rangi, waarabu, waislam au ujinga wako tu?
 
Wazanzibar hawataki kujifunza na kuijua historia sahihi.

Zanzibar na Tanganyika kabla ya kuja hawa washenzi wakoloni waarabu na wazungu, hizi ardhi zilikaliwa na mtu mweusi kwa maelfu ya miaka bila shida yoyote.

Shida ilianza pale mkolon wa uarabuni kuja East afrika kupitia pwani na kuweka ngome yake karibu na bahari ili iwe rahisi kwake kuingia na kutoka, pia urahisi wa kusafirisha bidhaa na resources wanazoiba East afrika na maeneo mengine, pia kwa sababu za kiulinzi na kiusalama, maeneo hayo ya pwani na visiwani kwao yalikuwa sahihi kuweka ngome zao na kuzifanya miliki haswa pale walipogundua ardhi hizo zina rutuba na zina utajiri wa kustawisha mazao mengi.

Shida ikaanza pale walipokuwa wakifanya biashara yao haramu ya kuteka na kuuza watu weusi, wakiwatoa kila pembe na kona ya Tanganyika wakiwakusanya katika masoko yao ya Utumwa huko walikoweka ngome zao, na kuwasafirisha kuwapeleka walikokujua wao, either kuwauza au kwenda kuwafanyisha shughuli wanazozihitaji wao.

Zanzibar ilijawa mchanganyiko wa watu wengi weusi na waarabu, na raia karibia wote wa Zanzibar wapo eneo hilo ama walifika eneo hilo kwa sababu ya Utumwa, kiuhalisia wazanzibar weusi ni Zao la babu zao waliotekwa Tanganyika na kupelekwa visiwani huko baadhi yao kuuzwa na kusafirishwa na waliobakia hasa wale magoigoi na baadhi yao ndio hawa ambao vizazi na vizazi wameleta hii population ya wazanzibar wa leo ambao wamesahau hii historia yao.

Siraha kuu ya Mwarabu aliyotumia kuwasahaulisha hawa watu wasahau kulipiza kisasi dhidi ya ndugu zao waliofanyiwa ukatiri ni mafundisho haramu ya dini na kuwabrainwash kupitia imani na tamaduni za kiarabu.

Leo hii wazanzibar wengi wanaijua historia ya Zanzibar baada ya Mapinduzi na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lkn ukiwauliza Nini kilichoijienga Zanzibar hawajui na hata wakijua wanapotezea na kujifanya kujisahaulisha kisa kumtetea mwarabu, ambaye kiuhalisia alitakiwa kushutumiwa na kudaiwa fidia ya kufanya ushetan wa kuuza watu na kuwafanyia kila aina ya mateso.

Kama baadhi ya mataifa mfano Taifa la haramu la wale wanaojiita waisrael wameweza kumshutumu na kumuhukumu hitra na Taifa la Ujerumani na kudai fidia za mamilion ya dollars kisa kuua raia wa kiisrael na kuwatumikisha je wazanzibar nao walishindwa vipi kudai haki yao dhidi ya hawa mashetan waliobaka na kuua babu zao? Kwanini wasidai haki yao?

Wazanzibar wanadhani adui yao ni mtanganyika lkn adui yao mkubwa ni mwarabu aliyeharibu background ya maisha yao kiimani, kiutamaduni mpaka kiutu kwa kuwafanya wawachukie ndugu zao ambao ndio asili yao yaani Watanganyika, badala yao wao wanawaona waarabu ndio ndugu zao wakati huo hao waarabu hawana muda nao, na siku ambayo watapewa Amri ya kujitawala kama wanavyodai wao, ndio siku ambayo Utumwa utawarejea rasmi, maana 90% ya umiliki wa Zanzibar utaenda kwa mwarabu huku wao wakiwa kama vijakazi wa kidini na kufanywa machokoraa ndani ya ardhi yao wenyewe.

Kama raia wengi wa kiafrika wameweza na wanaendelea kuukemea utumwa na athari zake mbona raia wa Zanzibar ndio bado wanang'ang'ana kujimilikisha kwa adui?

Yaani mtu aliyekuweka utumwani,akaua ndugu zako, akawauza na kuwatawala kwa kila aina ya utu then uje umuone wa maana na kumtetea?

Kuna namna hawa watu weusi wa Zanzibar walisharogwa akili yaani hayafikilii tena yameharibiwa akili, yameshikwa akili mpaka nafsi, huo uhuru wanaong'ang'ania ukiwauliza wanataka waufanyie nini? Majibu yao ni vituko kwakweli.

Aliye leta Utumwa&dini Afrika hakukosea na haikuwa bahati mbaya bali yalikuwa malengo ya muda mrefu ya kuitawala Afrika kupitia dini kwa kututawala kwakuzusha migogoro na tofauti za kidini, migogoro ya waafrika wao kwa wao, vita, chuki, ubinafsi, mgawanyo wa mipaka na kukuza ukabila, kiufupi Afrika kutawaliwa yalikuwa malengo ya watu weupe wote ulimwenguni kwa maelfu ya miaka.

Jiulizeni Dunia ina maelfu na maelfu ya miaka lakini kwanini historia ya Afrika inaanzia si zaidi ya miaka 2000? Je kabla ya hapo kulikuwa na matukio na historia gani Afrika?,

Jibu ni moja tu kwa muda wote huo Afrika ilishakuwa Eneo tajiri na tamanio la kila Falme ya watu weupe ambao kwa miaka yote hiyo kabla ya 2000yrs iliyopita walikuwa wakisuka mipango na mikakati ya kuitawala Afrika, ndiomaana waliingia kijanja sana kupitia biashara, na dini, na hawa ndio watangulizi wa ukoloni waliokusanya taarifa za yapi mapungufu ya watu weusi, walipogundua ni imani, yaani sisi wepesi kuamini ndipo wakaleta dini na ndio hapo wakauharibu UTU wetu mpaka leo hatujijui sisi ni nani.

Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja hakuna haja ya hizi kelele na mitengano ya kipumbavu ambayo inawanufaisha maadui.

Amkeni
Msomi umeandika vizuri sana.
Mwarabu alipo fika Zanzibar alijuwa fika sio nchi yake.
Kama alifika kwa uzuri ni kwanini asingewafundisha Wazanzibari namna ya kujitawala.

Bila ridhaa ya Wazanzibari akaamua kuwatawala na kuwalipisha Kodi huku akijua sio nchi yake

Ili kuwazuga akawaletea Dini ya Kiislamu.

Mzanzibari yuko radhi kuwa Mtumwa wa Waarabu hadi wakati huu.
Wanamwona Mwarabu kama Mungu wao.

FaizaFoxy, analialia cheo chake cha ujakazi kwa Mwarabu siku zote za maisha yake.
Na yule Mzee anayejifanya msomi sana.
Ni kwamba wachakuwa Brainwashed.
 
Back
Top Bottom