Mwaka 1967 Nchi za Afrika zilivunja Uhusiano na Taifa la Israel

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,394
Je, tunakumbuka nchi nyingi za Africa zilivunja uhusiano na taifa la Israel? Pamoja na yote hayo, taifa la Israel halijateteleka na limekuwa imara zaidi.

Kinyume chake Africa tumerudi nyuma zaidi kuliko tulivyo kuwa mwanzoni. Mdogomdogo tunarudisha wenyewe uhusiano na Israel. Kuvunja uhusiano na Israel tunajikomoa wenyewe. Tunajipa laana wenyewe.

Mungu wa mbinguni anachukia sana tunapokuwa kinyume na taifa lake. Wengine watauliza mbona Israel kuna mashoga kibao. Linaweza kuwa taifa la Mungu wakati limejaa mashoga?

Kwa taarifa yako, mashoga wamejaa dunia nzima. Mashoga wapo urusi, china, USA, Africa,
Brazil na hata nchi za kiarabu. Hakuna taifa katika USO wa dunia lisilokuwa na mashoga. Tusijifariji na kuona Israel na nchi za magharibi ndiyo zenye mashoga. Mashoga wamejaa kila Kona ya dunia.

Kwa hiyo pamoja na Israel kujaa mashoga, ukweli ni kwamba huko nyuma hakuna nabii yeyote, marudia hakuna nabii alietoka taifa lolote isipokuwa Israel. Manabii wote baada ya Yesu nje ya Israel ni batili. Taifa la ndiyo limezalisha manabii wote wa kweli wa Mungu. Utamtaja Mussa, Isaya, Yohana, Ezekiel, Ezra, Ibrahim, isaka, yakobo na wengine wengi.

Na record zao zipo waziwazi katika kitabu kitakatifu cha Mungu (biblia). Kuilaani Israel tunajilaani wenyewe. Lile taifa halitakuja kuteteleka
 
Hivi kuna watu akili huwa hawana kweli au wanafanya makusudi?
Propaganda na Brainwashing kweli ni silaha kubwa sana haswa ukizitumia kwa watoto wadogo

Israel unayoizungumzia hapo hata kama kweli unaamini kuna Mungu na huyo mungu ana orodha ya nchi anazozipenda (japo mpaka leo sijajua kwanini Mungu awe na taifa teule wakati watu wote ni wake, Baba anayependelea mtoto mmoja huko Mbeya mnamuitaje?)

Anyway, changamoto ya watu wengi kama nyie ni Udini na ujinga (ujinga wa historia)

Usichanganye Israel ya sasa hivi (hii nchi ya Israel) na neno Israel unalolisoma kwenye biblia
Hio Israel ya kwenye biblia, kwa usahihi inaitwa historical Israel (ambayo kwa sehemu kubwa ni Palestina ya sasa)

Israel unayoizungumzia hapo, ni ethno apartheid state iliyoanzishwa na wakimbizi wa kizungu kutoka ulaya mashariki
wengi wao ni atheists (Atheist ni mtu asiye amini kwenye Mungu au miungu)

Kwa vinasaba, wapalestina wa sasa wana undugu na wayahudi waliotajwa kwenye biblia kuliko hao wazungu kutoka Ukraine, Marekani, Poland na watoto wa makabulu waliokimbia South Africa baada ya Apartheid kuisha

Israel haijateteleka kwanini? Israel inapokea msaada wa mabilioni ya dola kila mwaka kutoka Marekani
Hio ni unconditional aids, yaani tumia utakavyotaka hatuulizi
 
Je, tunakumbuka nchi nyingi za Africa zilivunja uhusiano na taifa la Israel? Pamoja na yote hayo, taifa la Israel halijateteleka na limekuwa imara zaidi.

Kinyume chake Africa tumerudi nyuma zaidi kuliko tulivyo kuwa mwanzoni. Mdogomdogo tunarudisha wenyewe uhusiano na Israel. Kuvunja uhusiano na Israel tunajikomoa wenyewe. Tunajipa laana wenyewe.

Mungu wa mbinguni anachukia sana tunapokuwa kinyume na taifa lake. Wengine watauliza mbona Israel kuna mashoga kibao. Linaweza kuwa taifa la Mungu wakati limejaa mashoga?

Kwa taarifa yako, mashoga wamejaa dunia nzima. Mashoga wapo urusi, china, USA, Africa,
Brazil na hata nchi za kiarabu. Hakuna taifa katika USO wa dunia lisilokuwa na mashoga. Tusijifariji na kuona Israel na nchi za magharibi ndiyo zenye mashoga. Mashoga wamejaa kila Kona ya dunia.

Kwa hiyo pamoja na Israel kujaa mashoga, ukweli ni kwamba huko nyuma hakuna nabii yeyote, marudia hakuna nabii alietoka taifa lolote isipokuwa Israel. Manabii wote baada ya Yesu nje ya Israel ni batili. Taifa la ndiyo limezalisha manabii wote wa kweli wa Mungu. Utamtaja Mussa, Isaya, Yohana, Ezekiel, Ezra, Ibrahim, isaka, yakobo na wengine wengi.

Na record zao zipo waziwazi katika kitabu kitakatifu cha Mungu (biblia). Kuilaani Israel tunajilaani wenyewe. Lile taifa halitakuja kuteteleka
walikuwa wanafiki tu, hata hawakutakiwa kufanya hivyo. ile kujifanya wanapinga makaburu wa south wakaona kama hawatawapinga israel wataonekana kama biased, ikawalazimu kufukuza mabalozi wa israel, matokeo yake, israel haijaathirika kwa chochote,ndio kwanza imekuwa first world country, the most sophisticated in the middle east.
 
Tatizo unaleta hoja jukwaani Kwa kutumia rejea za kidini za kilokole, hebu tutajie taifa ambalo limeendelea hapa Duniani Kwa sababu linaunga mkono Israel. Mambo yenu ya kanisani kwenu au misikitini msitumie kama rejea hapa jukwaani. Wale ni watu kama wewe ACHA KUJIDHARAU kwani dini zao ni kitu gani?,0what if kama wasingekuletea huo ulokole usingekuwa binadamu
 
Je, tunakumbuka nchi nyingi za Africa zilivunja uhusiano na taifa la Israel? Pamoja na yote hayo, taifa la Israel halijateteleka na limekuwa imara zaidi.

Kinyume chake Africa tumerudi nyuma zaidi kuliko tulivyo kuwa mwanzoni. Mdogomdogo tunarudisha wenyewe uhusiano na Israel. Kuvunja uhusiano na Israel tunajikomoa wenyewe. Tunajipa laana wenyewe.

Mungu wa mbinguni anachukia sana tunapokuwa kinyume na taifa lake. Wengine watauliza mbona Israel kuna mashoga kibao. Linaweza kuwa taifa la Mungu wakati limejaa mashoga?

Kwa taarifa yako, mashoga wamejaa dunia nzima. Mashoga wapo urusi, china, USA, Africa,
Brazil na hata nchi za kiarabu. Hakuna taifa katika USO wa dunia lisilokuwa na mashoga. Tusijifariji na kuona Israel na nchi za magharibi ndiyo zenye mashoga. Mashoga wamejaa kila Kona ya dunia.

Kwa hiyo pamoja na Israel kujaa mashoga, ukweli ni kwamba huko nyuma hakuna nabii yeyote, marudia hakuna nabii alietoka taifa lolote isipokuwa Israel. Manabii wote baada ya Yesu nje ya Israel ni batili. Taifa la ndiyo limezalisha manabii wote wa kweli wa Mungu. Utamtaja Mussa, Isaya, Yohana, Ezekiel, Ezra, Ibrahim, isaka, yakobo na wengine wengi.

Na record zao zipo waziwazi katika kitabu kitakatifu cha Mungu (biblia). Kuilaani Israel tunajilaani wenyewe. Lile taifa halitakuja kuteteleka
Utakua una matatizo ya kiakili.
Africa kama kuendelea haitegemei Israel na hata ikivunja uhusiano na Israel hakuna watakachokosa.
Maana kama Africa kuendelea basi ni China na Imperialist nations ndio wamefanya hivyo.
-Sawa mashoga wapo kila eneo ila angalau mataifa baadhi yanapingana na huu USHETANI,ISRAEL INAUPOKEA NA KUUTETEA HUU USHETANI,MUNGU GANI ANAKUMBATIA MTU ANAYEFANYA DHAMBI KWA MAKUSUDI NA KWA KUSHADADIA???
-Israel iko pale ilipo kwa msaada na uungwaji mkono na mataifa ya magharibi na Marekani,pasi na hayo mataifa Israel isingesimama tokea nwanzo rejelea kuanzia 1947.
 
walikuwa wanafiki tu, hata hawakutakiwa kufanya hivyo. ile kujifanya wanapinga makaburu wa south wakaona kama hawatawapinga israel wataonekana kama biased, ikawalazimu kufukuza mabalozi wa israel, matokeo yake, israel haijaathirika kwa chochote,ndio kwanza imekuwa first world country, the most sophisticated in the middle east.
Mbona unatulisha matango pori??
Mataifa sophisticated in terms of economy middle east yanajulikana kuwa UAE,Bahrain,Qatar,Kuwait na Oman.
Hata Iran ina ubavu kiuchumi kuliko Israel,maana Israel kila mwaka bajeti yake hutoka USA mpaka defence budget.
Unamsifiaje huyo mtu ambaye akijikwaa tu watu rundo wanakuja kumuinua??
Bullshit
 
ukiona akili huna kabisa, wamekurahizishia hata google to. tafuta "most developed or advanced country in the middle east", utapata jibu. watu wana underestimate sana Israel, sio level zenu.

Israel is the Middle East's most developed country according to the UNDP Human Development Index 2019 followed closely by UAE. Saudi Arabia and Qatar.
 
Kuhusu uchumi huko sidhani kama una elimu nako.
Nchi inayopangiwa bajeti unaifananisha na nchi inayojisimamia yenyewe???
Kati ya Israel na Qatar na UAE nani ana annual GDP kubwa??
Kati ya Qatar na Israel nani ana PPP kubwa na per capita income kubwa???
We kweli fala uifananishe Qatar kiubavu wa kiuchumi na Israel???
Israel ambayo vita ya Gaza tu imemfanya uchumi utetereke??
 
Marekani anapeleka pesa kule kwenye defence, sio kwenye mambo mengine, na anafanya hivyo kwasababu marekani ni israel na israel ni marekani,kama ulikuwa hujui, walioshikilia uchumi marekani ni wayahudi wenye uraia wa Marekani, na wana uraia wa Israel pia. zaidi ya milion 6 wapo Marekani na kwenye top decision positions. ila kwa mambo ya kawaida, wanajitegemea kwasababu wanayo technolojia na bidhaa wanauza ulaya na marekani, wamegeuza jangwa kuwa sehemu ya kilimo wanauza matunda hadi china wakati waarabu wamekaa tu na mabusha yao kwenye jangwa hadi leo wanasubiri kugundua mafuta. mtu hana mafuta amekuja kuwa na maisha standard ya juu kuliko wao.
 
nimekwambia Israel ni marekani na marekani ni israel, kama utakuwa na akili utakuwa umeelewa.
 
ukiona akili huna kabisa, wamekurahizishia hata google to. tafuta "most developed or advanced country in the middle east", utapata jibu. watu wana underestimate sana Israel, sio level zenu.

Israel is the Middle East's most developed country according to the UNDP Human Development Index 2019 followed closely by UAE. Saudi Arabia and Qatar.
Huwa wanasoma basi,akisikia muarabu katajwa basi mbio kukomenti,msamehe tu maana hajui hata analosema.
 
Marekani anapeleka pesa kule kwenye defence, sio kwenye mambo mengine, na anafanya hivyo kwasababu marekani ni israel na israel ni marekani,kama ulikuwa hujui, walioshikilia uchumi marekani ni wayahudi wenye uraia wa Marekani, na wana uraia wa Israel pia. zaidi ya milion 6 wapo Marekani na kwenye top decision positions. ila kwa mambo ya kawaida, wanajitegemea kwasababu wanayo technolojia na bidhaa wanauza ulaya na marekani, wamegeuza jangwa kuwa sehemu ya kilimo wanauza matunda hadi china wakati waarabu wamekaa tu na mabusha yao kwenye jangwa hadi leo wanasubiri kugundua mafuta. mtu hana mafuta amekuja kuwa na maisha standard ya juu kuliko wao.
Unaropoka sana.
UKIACHANA NA BAJETI YA ULINZI BAJETI YA SERIKALI YA ISRAEL INATOKA USA.
Pia kuhusu matajiri wa USA ni sawa useme Waarabu ndio wameshikilia uchumi wa Tanzania kisa wamewekeza sana Tanzania hiko sio kitu sahihi.
HUJUI KUHUSU UCHUMI KASOME VIZURI.
QATAR,UAE,BAHRAIN NI MATAIFA YALOPIGA HATUA KATIKA KILA KITU NAHISI HUFUATILII GEOPOLITICS ZA MIDDLE EAST.
Kama Israel inajiweza isingepunguza Military manpower Gaza ikisema inahofia uchumi kuanguka maana bajeti imekata.
USA inapitisha na huwenda ishapitisha muswada wa kuipatia Israel pesa ku revive economy na silaha.
MENGI HUJUI
 
nimekwambia Israel ni marekani na marekani ni israel, kama utakuwa na akili utakuwa umeelewa.
NA UK NI ISRAEL NA ISRAEL NI UK??
MBONA UK NAE NI MIONGONI MWA WANAOILEA ISRAEL??
Unachanganya ushabiki na masuala ya geopolitical interests.
Pole kaka.
 
Unaropoka sana.
UKIACHANA NA BAJETI YA ULINZI BAJETI YA SERIKALI YA ISRAEL INATOKA USA.
Pia kuhusu matajiri wa USA ni sawa useme Waarabu ndio wameshikilia uchumi wa Tanzania kisa wamewekeza sana Tanzania hiko sio kitu sahihi.
HUJUI KUHUSU UCHUMI KASOME VIZURI.
QATAR,UAE,BAHRAIN NI MATAIFA YALOPIGA HATUA KATIKA KILA KITU NAHISI HUFUATILII GEOPOLITICS ZA MIDDLE EAST.
Kama Israel inajiweza isingepunguza Military manpower Gaza ikisema inahofia uchumi kuanguka maana bajeti imekata.
USA inapitisha na huwenda ishapitisha muswada wa kuipatia Israel pesa ku revive economy na silaha.
MENGI HUJUI
dada, punguza hasira ili tueleweshani polepole. Ni kweli,nchi za saudia, kuwait, qatar n.k, uchumi wao unahesabika ni mkubwa kutokana na mafuta au gesi wanazouza nje na maisha ya watu wachache. study ilifanyika miaka ya nyuma wakati ule wa kombe la dunia qatar, wakagundua watu wa kule wanaishi maisha ya kimasikini ajabu isipokuwa wale elite, wale waarabu halisi wazawa wa pale na ambao tayari wapo kwenye system ya serikali kukwapua mipesa ya mafuta, hao ndio wana pesa kuliko hata wamarekani (kama raia), ila ukija kwenye maisha ya mtu mmoja mmoja, Israel wanayo maisha ya hali ya juu kuliko hao wote uliowataja. ni sawa na Tanzania tunapopandishiwa GDP kwasababu tu tunauza dhahabu nje, kumbe dhahabu yenyewe anamiliki Geita gold (msaouth africa) na Barrick wa canada na marekani. angalia hapa halafu linganisha. Israel ambayo haina mafuta wala gesi, wamejipinda kwa technolojia, huduma na kilimo wamefikia level hizo, angekuwa na mafuta je? angalia maisha ya mmoja mmoja, usiangalia maisha ya wale wanafamilia wa nchi.

Richest Countries in the Middle East​

view as: list / map
Country
1.
$102,100​
2.
$42,100​
3.
$36,200​
4.
$31,300​
5.
$29,900​
6.
$29,800​
7.
$29,800​
8.
$24,500​
9.
$15,800​
10.
$12,800​
 
Iran kwa GDP wamezidiwa hadi na Lebanon. quatar na kuwait ni mafuta wanayotoa nje na asilimia kubwa tu inamilikiwa na wamarekani (ambao ni matajiri ya Israel yaishiyo marekani). angalia hata standard ya nyumba za kuishi tu kila kitu halafu linganisha, kama ulishawahi toka nje ya nchi lakini nisijekuwa naongea na mtu wa mwananyamala kwa kopakopa huko.

Kwa lugha nyingine, just type "villages in Israel", halafu ukimailiza linganisha "villages in Iran", bofya kwenye pictures. utagundua kuwa Israel zile nyumba mnazojenga mbezi beach ndio wao wanajenga kijijini mashambani.

image.png

linganisha na hii village in Israel hapa chini

moshav-israel-2[6].jpg

angalia village in Israel hapa
 
Je, tunakumbuka nchi nyingi za Africa zilivunja uhusiano na taifa la Israel? Pamoja na yote hayo, taifa la Israel halijateteleka na limekuwa imara zaidi.

Kinyume chake Africa tumerudi nyuma zaidi kuliko tulivyo kuwa mwanzoni. Mdogomdogo tunarudisha wenyewe uhusiano na Israel. Kuvunja uhusiano na Israel tunajikomoa wenyewe. Tunajipa laana wenyewe.

Mungu wa mbinguni anachukia sana tunapokuwa kinyume na taifa lake. Wengine watauliza mbona Israel kuna mashoga kibao. Linaweza kuwa taifa la Mungu wakati limejaa mashoga?

Kwa taarifa yako, mashoga wamejaa dunia nzima. Mashoga wapo urusi, china, USA, Africa,
Brazil na hata nchi za kiarabu. Hakuna taifa katika USO wa dunia lisilokuwa na mashoga. Tusijifariji na kuona Israel na nchi za magharibi ndiyo zenye mashoga. Mashoga wamejaa kila Kona ya dunia.

Kwa hiyo pamoja na Israel kujaa mashoga, ukweli ni kwamba huko nyuma hakuna nabii yeyote, marudia hakuna nabii alietoka taifa lolote isipokuwa Israel. Manabii wote baada ya Yesu nje ya Israel ni batili. Taifa la ndiyo limezalisha manabii wote wa kweli wa Mungu. Utamtaja Mussa, Isaya, Yohana, Ezekiel, Ezra, Ibrahim, isaka, yakobo na wengine wengi.

Na record zao zipo waziwazi katika kitabu kitakatifu cha Mungu (biblia). Kuilaani Israel tunajilaani wenyewe. Lile taifa halitakuja kuteteleka

Endelea kujifariji na ujinga wako. Nimetumia neno UJINGA siyo neno UPUMBAVU!
 
Back
Top Bottom