Magazine Fire
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,365
- 1,462
Madaktari mukuje huku kutoa ushauri tunashida sisi.
Electrolyte wanaipimaje?Muombe daktari akupe referrer ya kwenda kupima electrolytes maabara, kutokana na majibu atakushauri vyakula vya kula pia jitahidi kunywa maji angalau litre mbili kwa siku.
Mi nina haya yote uliyoyaeleza. Tatizo linaweza kuwa ni nini?Kuna dalili zingine haujazisema
katika ilo tatizo lako vinakwenda sambamba
Miguu kupata moto
Ganzi kwenye miguu peke yake au mbaka kwenye mikono
Kifua kuwaka moto
Je,tumbo alijai gesi
Kichwa akiumi
maumivu nyuma ya bega
Choo unapata fresh
Usikii uchovu mara kwa mara
hauna dalili yeyote ya maumivu kwenye misuri ya moyo
Ebu funguka na dalili zingine unazo zisikia ili tukupe tiba .
DamuElectrolyte wanaipimaje?
PoaDamu
Kuvimba miguu pia, tatizo ni nn
mkuu nipende kuulza na kuongezea hapo kwamba ata nucleo CMR tabs zinazotibu peripheral neuropathy zinafaaTatizo lako linaitwa peripheral neuropathy linatokana na mishipa ya nerves kushindwa kufanya kazi vizuri so dawa zake ni gabapentine 300mg kidonge kimoja kwa siku mwezi mzima au unaweza tumia pregabalin 75mg na yenyewe dozi mwezi mzima kumbuka maumivu hayaishi siku moja ni mwendo wa taratibu mpaka yanakwisha otherwise inatakiwa upime sukari na pressure yako ujue zipoje lakini dawa za huo ugonjwa ndo hizo
yani hii case yako jiran yangu nimemshaur kupima TB maana mapafu yanajaa maji lakini cha ajabu hatak maana anamwamn Dr ake....nafrah angepita hapaPafu langu la kushoto lilijaa maji ikawa napumua kwa tabu, yakatolewa nikalazmika kufanya vipimo ile ijulikane sbb n nn, cha kwanza ilikua n TB nikagundulika ninayo tb ya nje ya mapafu. Haina ubish mtu mwenye tb hukisiwa kua na HIV nikatakiwa kupima, Nikakubali sbb nilikua najiamini Japo joto lilipanda kdg pale ndani. Majibu ni Negative. Nikaaza kutumia Dozi ya Tb ila sasa nahisi miguu yangu inauma kweny magoti japo si kwa sana na si mda wote, ila n bora kuwahi, mda mwingne si kuuma Bali ni kukosa nguvu nikipanda ngazi au mlima, ulianza mguu wa kushoto kwenye paja asaiv ni kwenye joint za magoti
Mkuu hii hina inapatikana wapi na matumizi yake yakoje na ufanisi wake ukoje.Pakaa hina unyayoni mwako mpaka kwenye vidole utapona
How maelezo na tibaPoor blood circulation
Unapatikana wapiHospital wakasema je? Au unataka Tiba mbadala? Kama unataka miti ni dawa, fresh tafuta miberiti unalijua? Kama umesoma shule za kayumba hii miti hutumika Kama fimbo, so Kama unaijua...nitakuelekeza cha kufanya hapahapa....muhimu jaribu kwanza hospital
Napatikana wapi Mimi au huo mti? Mimi sipatikani kabisa, Ila mti inapatikana mashuleni uliza MUHENGA yoyote mti wa m biriti atakuwa anaujuwa..Unapatikana wapi