- Joined
- Sep 3, 2014
- Messages
- 126
- Likes
- 12
- Points
- 35

Abuu Ibrah
Senior Member
Joined
Sep 3, 2014

Habarini wana Jf
Nami mke wangu ana tatizo la miguu kupata baridi na muda mwingine huwa ina ganzi, na pia akiwa na hasira na kufoka huwa anaishiwa kabisa nguvu,
tumeenda hospital nyingi tukawa tunaambiwa ni upungufu wa vitamin B
na kupewa dawa za vitamin B, ila ikawa bado hali inaendelea.
Nikampeleka Muhimbili moi na kupima mri na majibu yakasema hana shida na tukapewa dawa ambazo ni
Ligaba
Neuroton
Fastum gel na
Melorem. Baada ya kuzitumia hali ndo ikazidi,
ikabidi turudi na akapima EMG, majibu ni yaleyale na kupewa dawa za
Onegaba (vidonge)
Neurorubine (sindano)
ila bado hali si nzuri.
Ana watoto wawili na wote kajifungua kwa Operesheni.
Naomba ushauri wenu tufanyaje jamani?