Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Kuna dalili zingine haujazisema
katika ilo tatizo lako vinakwenda sambamba
Miguu kupata moto
Ganzi kwenye miguu peke yake au mbaka kwenye mikono
Kifua kuwaka moto
Je,tumbo alijai gesi
Kichwa akiumi
maumivu nyuma ya bega
Choo unapata fresh
Usikii uchovu mara kwa mara
hauna dalili yeyote ya maumivu kwenye misuri ya moyo

Ebu funguka na dalili zingine unazo zisikia ili tukupe tiba .
Mi nina haya yote uliyoyaeleza. Tatizo linaweza kuwa ni nini?
 
Peripheral neuropathy

Dawa yake ni neurobin forte kidonge kimoja kila siku kwa mwezi mmoja at least
 
Tatizo lako linaitwa peripheral neuropathy linatokana na mishipa ya nerves kushindwa kufanya kazi vizuri so dawa zake ni gabapentine 300mg kidonge kimoja kwa siku mwezi mzima au unaweza tumia pregabalin 75mg na yenyewe dozi mwezi mzima kumbuka maumivu hayaishi siku moja ni mwendo wa taratibu mpaka yanakwisha otherwise inatakiwa upime sukari na pressure yako ujue zipoje lakini dawa za huo ugonjwa ndo hizo
mkuu nipende kuulza na kuongezea hapo kwamba ata nucleo CMR tabs zinazotibu peripheral neuropathy zinafaa
 
Pafu langu la kushoto lilijaa maji ikawa napumua kwa tabu, yakatolewa nikalazmika kufanya vipimo ile ijulikane sbb n nn, cha kwanza ilikua n TB nikagundulika ninayo tb ya nje ya mapafu. Haina ubish mtu mwenye tb hukisiwa kua na HIV nikatakiwa kupima, Nikakubali sbb nilikua najiamini Japo joto lilipanda kdg pale ndani. Majibu ni Negative. Nikaaza kutumia Dozi ya Tb ila sasa nahisi miguu yangu inauma kweny magoti japo si kwa sana na si mda wote, ila n bora kuwahi, mda mwingne si kuuma Bali ni kukosa nguvu nikipanda ngazi au mlima, ulianza mguu wa kushoto kwenye paja asaiv ni kwenye joint za magoti
yani hii case yako jiran yangu nimemshaur kupima TB maana mapafu yanajaa maji lakini cha ajabu hatak maana anamwamn Dr ake....nafrah angepita hapa
 
Wapendwa naomba mnisaidie jamani nasumbuliwa na. miguu inauma na kuwaka moto hasa kipindi nikiwa siku zangu sina amani kabisa wakati.mwingine nahisi kama visindano vinanitoboa sehemu tofauti tofauti.msaada plz
 
Hospital wakasema je? Au unataka Tiba mbadala? Kama unataka miti ni dawa, fresh tafuta miberiti unalijua? Kama umesoma shule za kayumba hii miti hutumika Kama fimbo, so Kama unaijua...nitakuelekeza cha kufanya hapahapa....muhimu jaribu kwanza hospital
 
Hospital wakasema je? Au unataka Tiba mbadala? Kama unataka miti ni dawa, fresh tafuta miberiti unalijua? Kama umesoma shule za kayumba hii miti hutumika Kama fimbo, so Kama unaijua...nitakuelekeza cha kufanya hapahapa....muhimu jaribu kwanza hospital
Unapatikana wapi
 
Unapatikana wapi
Napatikana wapi Mimi au huo mti? Mimi sipatikani kabisa, Ila mti inapatikana mashuleni uliza MUHENGA yoyote mti wa m biriti atakuwa anaujuwa..

Chukua mizizi, loweka, ichune magamba yake, weka ktk beseni, loweka miguu yako, utaskia maumivu yanavutwa huko yalikokuwa kuja ktk unyayo, vumilia hadi maumivu yaache...kama utajaribu basi tunaomba mrejesho
 
Nenda kachek h.i.v test mkuu kuna jamaa alikua anasumbuliwa hivyo hivyo kuchek kumbe ni hiv
 
Kadhalika namimi wakuu msaada wenu hapa tafadhali, ila mimi nitofauti kidogo, kiuno huwa kinanikaza mala kwa mala nakupata maumivu makali hili tatizo husababishwa nanini!

Msaada wenu wajuzi wamambo
 
Back
Top Bottom