• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

kidunula1

kidunula1

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Messages
3,211
Points
2,000
kidunula1

kidunula1

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2016
3,211 2,000
Mimi nikinywa tu soda au bia nakuwa nahisi miguu kuwaka moto kwa mbali, linaweza kuwa tatizo gani? Na nikilala mkono wangu Wa kushoto nikishika kitu hasa hasa simu wakati nachati na wenyewe unakuwa muwasho Wa kuwaka moto kwa mbali. Linaweza kuwa tatizo gani wadau!?
 
don12

don12

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
678
Points
225
don12

don12

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
678 225
Fanya MRI ya mgongoni thoracolumbar kesha nenda nayo kwa wataalamu pale MOI
 
kwenda21

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
2,146
Points
2,000
kwenda21

kwenda21

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
2,146 2,000
Maji anywe lita mbili kwani yana sukari
 
D

dkamgu

Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
88
Points
125
D

dkamgu

Member
Joined Sep 11, 2017
88 125
Mkuu haupo peke yako haswa kwenye miguu kuwaka moto. Nilishawahi omba ushauri hapa na michanga ya mawazo ilikuwa mingi lakin haikunisaidia kuna mmoja alinishuri nitumie tramadol lakin ilikuwa isaidia kwa mtu tu. Labda jitahidi kuwaona madaktari bingwa ktk eneo lako au wakupe refferal uende Muhimbili utapona
Nimekuelewa mkuu
 
spinderella

spinderella

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Messages
1,088
Points
2,000
spinderella

spinderella

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2016
1,088 2,000
Mtoto Mdogo sana kuwa na Matatizo Hayo, nakushauri kamuone Specialist
Inategemea na lifestyle anayoishi pamoja na family history. Kama ni overweight or obese, hachagui cha kukila, hafanyi mazoezi anaweza kupata hayo matatizo tena hata mapema zaidi na ikiwa matatizo hayo yapo kwenye familia ndio kabisaa.
 
N

Neema j swai

Senior Member
Joined
Mar 27, 2017
Messages
179
Points
225
N

Neema j swai

Senior Member
Joined Mar 27, 2017
179 225
Ndugu zangu ninaomba ushauri wenu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la miguu kufa ganzi na kuwaka moto kwa muda mrefu pia wakati mwingine huwa napatwa na maumivu makali sehemu ya kifuani nawakati mwingine mate yangu huwa mazito mithili ya makohozi mf wa ute mweupe. Nimepima labda nikajua nina Tb lakini vipimo vikaonesha negative maana yake sina
Na mm nina hilo tatzo sahv lina miez 6 wakat mwingne ucku huwa naishiwa nguvu mikono inalegea nmepma sukar, presha, wing wa damu vyote vko sawa mpak sahv cjapata tba ukpata naomba nijulishe na mm maana nshajikatia tamaa
 
tamimy

tamimy

Member
Joined
Apr 2, 2016
Messages
26
Points
45
tamimy

tamimy

Member
Joined Apr 2, 2016
26 45
Na mm nina hilo tatzo sahv lina miez 6 wakat mwingne ucku huwa naishiwa nguvu mikono inalegea nmepma sukar, presha, wing wa damu vyote vko sawa mpak sahv cjapata tba ukpata naomba nijulishe na mm maana nshajikatia tamaa
Una tatizo la mishipa ya fahamu vegetative nerve system jitahidi kula vyakula vyenye vitaminB kwa wingi na inabidi upate na vidonge vya vitamin B complex au vitamin B12 au kuna moja inaitwa Malgamma compositum utumie vitakusaidia ukishindwa dawa zozote tu za vitamin b jarib
 
M

Magazine Fire

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
842
Points
1,000
M

Magazine Fire

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
842 1,000
Mim tatizo langu miguu inavimba kama mtu aliyekaa kwa muda mrefu bila kunyanyuka na vidole vya mikono navyo hujaa na kufa ganzi ila tatizo hili hutoweka pindi nikilala kwa muda mrefu. Tatizo lilianza nilipougua Thyphod nikiwa mdogo mwaka 2000, msaada please.
 
M

mjamaa halisi

New Member
Joined
Aug 2, 2017
Messages
4
Points
45
M

mjamaa halisi

New Member
Joined Aug 2, 2017
4 45
Kuna dalili zingine haujazisema
katika ilo tatizo lako vinakwenda sambamba
Miguu kupata moto
Ganzi kwenye miguu peke yake au mbaka kwenye mikono
Kifua kuwaka moto
Je,tumbo alijai gesi
Kichwa akiumi
maumivu nyuma ya bega
Choo unapata fresh
Usikii uchovu mara kwa mara
hauna dalili yeyote ya maumivu kwenye misuri ya moyo

Ebu funguka na dalili zingine unazo zisikia ili tukupe tiba .
Miguu inakufa ganzi inakua na ubaridi na ganzi kwenye mikono msaada tafadhari
 
Careem

Careem

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
19,586
Points
2,000
Careem

Careem

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
19,586 2,000
Hivi huu uzi ndio umekosa madaktari wa kutusaidia haya matatizo kweli?
 
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
4,330
Points
2,000
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
4,330 2,000
Naombeni msaada wa diagnosis na treatment kwa mwanamke wa miaka 24 ambaye miguu yake inawaka moto..
Muda mwingine inavimba..
 
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
4,542
Points
2,000
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
4,542 2,000
Jaribu hii, mtu wa m biriti unaifahamu ? Tuanzie hapo Kama huu fahamu haina haja ya kuendelea hapa, na Kama waifahamu, kachimbe mizizi yake, kisha ioshe hiyo mizizi, kisha ichune magamba yake, kisha Yale magamba yaloweke katika beseni kwa muda wa masaa mawili, kisha huyo mgonjwa atumbukize miguu yake ktk beseni lililo na hiyo mizizi iliyolowekwa kwa muda wa lisaa...hii ni tiba
 
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
4,330
Points
2,000
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
4,330 2,000
Jaribu hii, mtu wa m biriti unaifahamu ? Tuanzie hapo Kama huu fahamu haina haja ya kuendelea hapa, na Kama waifahamu, kachimbe mizizi yake, kisha ioshe hiyo mizizi, kisha ichune magamba yake, kisha Yale magamba yaloweke katika beseni kwa muda wa masaa mawili, kisha huyo mgonjwa atumbukize miguu yake ktk beseni lililo na hiyo mizizi iliyolowekwa kwa muda wa lisaa...hii ni tiba
Asante sana mkuu
 
tamimy

tamimy

Member
Joined
Apr 2, 2016
Messages
26
Points
45
tamimy

tamimy

Member
Joined Apr 2, 2016
26 45
Mim tatizo langu miguu inavimba kama mtu aliyekaa kwa muda mrefu bila kunyanyuka na vidole vya mikono navyo hujaa na kufa ganzi ila tatizo hili hutoweka pindi nikilala kwa muda mrefu. Tatizo lilianza nilipougua Thyphod nikiwa mdogo mwaka 2000, msaada please.
Tafuta specialist Endocrinologist,hematologist watakupa ushauri mzuri zaidi inawezekana ulipata shida nyingine kutoka kwenye dawa ulizotumia au hiyo typhoid yenyewe
 

Forum statistics

Threads 1,405,188
Members 531,922
Posts 34,480,101
Top