Tatizo la Maumivu wakati wa tendo la ndoa

Una tatizo lililotokana na kuathirika kwa kupiga punyeto ambapo umefikia ile ahatua iitwayo "Addiction/Uraibu"

Ushauri wangu waone wataalamu wakusaidie haraka iwezekanavyo.

Dawa ya punyeto ni kufunga na kuomba sana maana kuna mapepo yaliyojikita hiyo sehemu kupitia hii mitandao ya kijamii kama porn stars, pornography.

Ukiaweza kuanza, pia unaweza kumaliza, yani kila chenye mwqnzo, basi lazima kiwe na mwisho.
Tunamshukuru Sasa hivi Tanzania porn wamefunga
 
Kula mbegu za maboga! Tikiti maji! Ndizi mbivu! Korosho! Almonds! Karanga! Na Unga wa ubuyu!

Make sure you cut fats intake kama unapenda mavitu ya kukaanga kaanga basi hakikisha unaacha mara moja! Wewe twanga maji mengi na hizo whole nuts tu iwe sehemu ya diet yako kila siku utanipa mrejesho!
 
Una tatizo lililotokana na kuathirika kwa kupiga punyeto ambapo umefikia ile ahatua iitwayo "Addiction/Uraibu"

Ushauri wangu waone wataalamu wakusaidie haraka iwezekanavyo.

Dawa ya punyeto ni kufunga na kuomba sana maana kuna mapepo yaliyojikita hiyo sehemu kupitia hii mitandao ya kijamii kama porn stars, pornography.

Ukiaweza kuanza, pia unaweza kumaliza, yani kila chenye mwqnzo, basi lazima kiwe na mwisho.
Au jamaa alikuwa ananyonga kavu bila kilainishi😅,
 
Au wadada wa kisukuma au kinyantuzu wamekufanyia jambo.. Kama mwanzo ulkua vizuri alafu saiv hali imebadilika.

Pole sana mkuu, sijui tiba yake ni nini. Ila wadau tuache hii kitu ya kua kila mwanaume mwenye tatizo kama la mleta uzi basi ni mdau wa chaputa.

Wengine ni hali walizozaliwa nazo si ajabu hata punyeto hawaijui. Tusiwahukumu moja kwa moja kua ni member wa chaputa, tuwasaidie tu bila kuwahusisha na chaputa wakati wao wanasema hawafanyi hiyo kitu.
 
uzima huwapa sana kiburi watu mkuu, lazima kejeli zitakuwa nyingi.
 
Mkuu hukupata matibabu bado hadi Leo?

Muone Herbalist Mzizimkavu

bado sijapata mkuu,

Nimemuona tayari ila kipengele kikubwa ni hela ya dawa anayotaka ni ndefu, tatizo sio kuitoa mana naweza hata uza chochote ili nijitibu, tatizo linakuja nimeshatumia hela ndefu kama hizo mara kadhaa bila ya matokeo yoyote mazuri. Na ndio mana nakuwa nasitasita.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom