Tatizo la kupenda kukiss/kubusu

Tatizo la kupenda kukiss/kubusu

jitahidi huacha taratibu. itapita, ingawa tabia iliyoundwa na ikakaa ni kama mtu aliyendani ya neti ya chuma, haitoki kilahisi. Determine kupunguza kidogokidogo lakini utafanikiwa zaidi kama utapata mwanaume atakayekuvumilia katika hiyo tabia na kukusaidia kuacha kidogo kidogo
 
Mi kati ya kitu nisichopenda ni hayo mabusu tena ya mdomoni. Watu wamekula mayai yamenatiana menoni afu wanataka kisss.
Siku zote nasingizia naumwa meno au nina vidonda mdomoni ili tu nisimbusu
 
kama wapenda kukis na wa kukis huna hilo ni tatizo, kama wapenda na wa kukis yupo shida ni gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom