falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,230
- 9,360
anza kunyonya vidole litaapungua
mbavu zangu mie
anza kunyonya vidole litaapungua
ushauri uwe unapiga mswaki mara kwa mara ili usitengeneze sumu zinazotokana na lipstick za hawa akina dada
Unajua ku Kiss au unapenda tuu? huyo alokuwacha ulikua humtafuni lakini?
Mtafute boyfrnd wa kizungu mtaendana huyo humuwez.
mimi naomba hela kwanza maswala ya ndimi baadae
Huyo ulokuanae sasa pia anapenda au?Kila kitu.. Alikua hapendi et namboa
aisee kwanza unajua kukiss/? au ni wale wanatoa ulimi kama kinyonga kinadaka mdudu 😛opcorn:Pesa nayo muhimu chagga bt ndo addicted
I wish
aisee kwanza unajua kukiss/? au ni wale wanatoa ulimi kama kinyonga kinadaka mdudu 😛opcorn:
french kiss ?Am good with it dear... Yani noma..
french kiss ?
Yo mpwdddaaaa mimi hdhdb akajahd llldjd 74744smkejehbnedd
I wish
Be careful possibly mdomo wako unatoa harufu fulani ambayo wewe c rahic kunote make wewe ulisha izoea.
haya mbeMisschaga menengubusu. lakichaka. nesomanamba
Loh haaahaa sio kweli
anza kunyonya vidole litaapungua
ndiyo dawa hiyowe miss chaga hii ndo dawa hahahaha