Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,092
- 34,903
Zipo Maduka ya Kariakoo kwa wapemba wauza Madawa ya kiarabu kama sikosei mimi sipo huko miaka mingi sijuwi kam bado hayo maduka yapo hapo Kariakoo au hayapo? jaribu kuuliza wewe kama upo bongo.Mzizi Mkavu,hivi manemane zinapatikana wapi?