Maneno yako sahihi mkuu anaebisha mwache abishe lakini ukweli ndo huo na utabaki kua hvyo tuNijuavyo mimi ukiona mpaka mtu ameleta hapa tatizo lake ukae ukijuwa amehakwenda Hospitali kujaribu kultatuwa sasa imeshindikana huko hospitali ndio maana ameleta hapa. Kuna Maradhi ambaya hayawezi kutibika Mahospitalini na yanaweza kutibika kwa tiba mbadala mkuu tpaul hata huko Hospitali kuu ya Muhimbili kuna kitengo cha Dawa Mbadala nenda mwenyewe utajionea.
Shaitwani ana nafasi kubwa ya kumtia maradhi binaadamu hata vitabu vyote vinatuambia.
Last edited by a moderator: