Ninatatizo kwenye mkojo

kamba0719

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
804
1,904
Nina miezi kama miwili nasikia maumivu baada ya kukojoa,nimenda hospitali kucheck mkojo na nimepima katibia mara tatu still mkojo wangu ukaonekana hauna matatizo yoyote, nilipewa na dawa ila still hazi kusaidia.

Nikapimwa tena figo,kibofu na tezi kwa Utrasound still matokeo yakatoka sina tatizo. Dakatari (Specialist wa Mkojo) aliniambia sababu niliumwa kichocho,may be inaweza kuwa tatizo akanishauri nitumie matunda ya Vitamin C.Ila still mpaka sasa nikimaliza kukojoa na sikia maumivu.

Sio maumivu makali ,ila ni maumivu yanayo nifanya nisiwe comfortable.
Naombeni ushauri na kama kuna specialist mzuri wa maswala ya mkojo niambieni nikaonane nae.
 
Nendo hospital yenye kipimo cha cystoscopy wakucheki njia ya mkojo kwa ndani hadi kwenye kibofu
 
Bila shaka ulipata kisonono ukatibiwa ukapona halafu umebaki na hilo hali
Hivi umesoma maelezo yangu ukaya elewa,huo ugonjwa sijawahi kuumwa kitu alicho niambia Dr May be sababu ya historia kichocho ambayo niliumwa nikiwa la pili, akanishauri nice vyakula vya Vitamin C.
 
Nina miezi kama miwili nasikia maumivu baada ya kukojoa,nimenda hospitali kucheck mkojo na nimepima katibia mara tatu still mkojo wangu ukaonekana hauna matatizo yoyote, nilipewa na dawa ila still hazi kusaidia.

Nikapimwa tena figo,kibofu na tezi kwa Utrasound still matokeo yakatoka sina tatizo. Dakatari (Specialist wa Mkojo) aliniambia sababu niliumwa kichocho,may be inaweza kuwa tatizo akanishauri nitumie matunda ya Vitamin C.Ila still mpaka sasa nikimaliza kukojoa na sikia maumivu.

Sio maumivu makali ,ila ni maumivu yanayo nifanya nisiwe comfortable.
Naombeni ushauri na kama kuna specialist mzuri wa maswala ya mkojo niambieni nikaonane nae.
Ikiwa huna uti wala gono...
Je njia mkojo iliwahi kuwasha kidogo?
 
Ikiwa huna uti wala gono...
Je njia mkojo iliwahi kuwasha kidogo?
Nilipima vyote UTI,Kaswende,Gono,Urine Calture mara tatu na Utrasound ya figo,Tezi na Kibofu bado hamna kitu,ila still kuna maamivu fulani (sio makali) ila yananifanya nisiwe comfortable.
 
Ok, jaribu kutumia terbinafine kwa siku 14, hii hutibu njia ya mkoja kwa hara huenda una maambukizi ya fangasi kwenye njia ya mkojo.
Fangas dalili zake kuu ni kuwashwa njia ya mkojo, ikizidi huleta maumivu wakati wa kukojoa au ukibanwa na mkojo
 
Ngoja nitafute
 
Back
Top Bottom