Kila ninapopita tarafa zote nne igurubi, choma, simbo na igunga mjini. Kila unapofika katika mikusanyiko ya watu wengi wanamtoa kasoro mgombea wa CHADEMA Joseph Kashindye kuwa ni mzito wa kuongea wengine wanasema ni mzee huku wakimwagia sifa mgombea wa CUF Leopold Mahona kuwa sera zake zinatekelezeka na anajua kulimiliki jukwaa pia ni kijana mdogo, ambaye amezaliwa tarafa ya SIMBO.
Kinyume na mgombea wa CHADEMA ambaye wanasema alitokea Sengerema MWANZA na alikuja kama mwalimu na baadaye kupanda ngazi na kuwa Mratibu wa Elimu wilayani Igunga. Mtoaji wa habari hizi ni mmoja wa timu za kampeni zilizoko huku Igunga.