Tatizo la CHADEMA Igunga ni Mgombea

woyowoyo

Senior Member
Jul 24, 2011
173
12
Kila ninapopita tarafa zote nne igurubi, choma, simbo na igunga mjini. Kila unapofika katika mikusanyiko ya watu wengi wanamtoa kasoro mgombea wa CHADEMA Joseph Kashindye kuwa ni mzito wa kuongea wengine wanasema ni mzee huku wakimwagia sifa mgombea wa CUF Leopold Mahona kuwa sera zake zinatekelezeka na anajua kulimiliki jukwaa pia ni kijana mdogo, ambaye amezaliwa tarafa ya SIMBO.

Kinyume na mgombea wa CHADEMA ambaye wanasema alitokea Sengerema MWANZA na alikuja kama mwalimu na baadaye kupanda ngazi na kuwa Mratibu wa Elimu wilayani Igunga. Mtoaji wa habari hizi ni mmoja wa timu za kampeni zilizoko huku Igunga.
 
....Timu za kampeni za Chama gani? FUNGUKA!
 
wafuasi wa ccm wanasema kushinda cdm bora wampigie cuf .na wafuasia wa cuf wanasema kuliko cdm kushinda bora ccm ishinde lakini mwisho mwa hao awatapiga kula kwa kutokuwa na msimamo.
 
Kila ninapopita tarafa zote nne igurubi, choma, simbo na igunga mjini. Kila unapofika katika mikusanyiko ya watu wengi wanamtoa kasoro mgombea wa CHADEMA Joseph Kashindye kuwa ni mzito wa kuongea wengine wanasema ni mzee huku wakimwagia sifa mgombea wa CUF Leopold Mahona kuwa sera zake zinatekelezeka na anajua kulimiliki jukwaa pia ni kijana mdogo, ambaye amezaliwa tarafa ya SIMBO.

Kinyume na mgombea wa CHADEMA ambaye wanasema alitokea Sengerema MWANZA na alikuja kama mwalimu na baadaye kupanda ngazi na kuwa Mratibu wa Elimu wilayani Igunga. Mtoaji wa habari hizi ni mmoja wa timu za kampeni zilizoko huku Igunga.

Nilipo angalia jina lako nikaona kama limeandikwa wowowo!!!, Nikasema si kosa lako, lakini bado sio kosa lako!!!. Ndo faida za kukubali kupakatwa na mafisadi!!
 
jimbo ni la CUF kwa jinsi inavyoonekana ushindi kwao ni mweupe kutokana na mgombea wao ni mzawa na anafahamika, hii ni mara ya pili kwa hiyo hawatumii nguvu kubwa labda CCM wawaibie, na kwa kuwa Maalim seif ndiye atakayefunga kampeni naona wamejipanga vizuri. a
 
Kila ninapopita tarafa zote nne igurubi, choma, simbo na igunga mjini. Kila unapofika katika mikusanyiko ya watu wengi wanamtoa kasoro mgombea wa CHADEMA Joseph Kashindye kuwa ni mzito wa kuongea wengine wanasema ni mzee huku wakimwagia sifa mgombea wa CUF Leopold Mahona kuwa sera zake zinatekelezeka na anajua kulimiliki jukwaa pia ni kijana mdogo, ambaye amezaliwa tarafa ya SIMBO.

Kinyume na mgombea wa CHADEMA ambaye wanasema alitokea Sengerema MWANZA na alikuja kama mwalimu na baadaye kupanda ngazi na kuwa Mratibu wa Elimu wilayani Igunga. Mtoaji wa habari hizi ni mmoja wa timu za kampeni zilizoko huku Igunga.

Idadi ya mashoga inaongezeka sana! Nakulilia Tanzania...Dr Kafumu ni Kijana zaidi
 
Si busara katika siasa za leo kuangalia Mgombea amezaliwa wapi, hatuchagui wazawa tunachagua viongozi wa maeneo yetu, achakuendekeza siasa za ukabila zimepitwa na wakati.
 
Idadi ya mashoga inaongezeka sana! Nakulilia Tanzania...Dr Kafumu ni Kijana zaidi

Kafumu kawaagiza wapiga kula wamchague yeye kama alivyochaguliwagwa na mkewe ndo kamuoa! Na wewe wowowo tayari ushakuwa mdunguliwa wa Kafumu.
 
kama kuchagua mgombea kttokana na eneo alilotoka basi makongoro mahanga asingekua mbunge wa segerea tena kwa kulazimisha
 
jimbo ni la CUF kwa jinsi inavyoonekana ushindi kwao ni mweupe kutokana na mgombea wao ni mzawa na anafahamika, hii ni mara ya pili kwa hiyo hawatumii nguvu kubwa labda CCM wawaibie, na kwa kuwa Maalim seif ndiye atakayefunga kampeni naona wamejipanga vizuri. a
Sikujua Rostum Aziz ni CUF. Maana ndiye aliyekuwa akishinda Igunga, jimbo la CUF.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom