ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
1. Waziri mkuu
Mwigulu Nchemba
Huyu amewekwa kufanya propaganda za utamaduni wa Magufuli ili wananchi wawe na Imani na Serikali
Hapa tutarajie ziara za kushitukiza na tumbua tumbua nyingi
2 Wizara ya Afya
Mchengerwa
Huyo kifua kipana ameweka hapo ili kuthibiti habari za vifo na maiti za waandamanaji tu, zisisambae mtandaoni,
Ila baadaye atarudishwa TAMISEMI au wizara ya Ulinzi
3 Wizara ya Fedha
Khamis Omary
Huyu ni Mzanzibar yupo hapo kimkakati, hapa pesa za Watanganyika zitahamia kujenga na kukuza Zanzibar
Tutarajie fedha kuchotwa na mafisadi
4 Wizara wa mambo ya ndani
George Simbachawene
Huyu ni kachero mzoefu kuliko Bashungwa aliyekuwepo, nadhani wanamtandao Kuna kitu wamekiona kwenye wizara hii hakiko sawa.
Hasa utekaji na mauaji vinavyoacha alama kuwa wametenda police
5. Wizara ya mawasiliano
Angela Kairuki
Huyu dada Yuko smart sana kichwani.
Nadhani amewekwa hapo ili TCRA iwe ovyo na kuleta sheria za kudukua mawasiliano
6. Wizara ya habari sanaa na michezo
Kabudi
Mwana FA
Bashite
Hapa Kabudi hatakaa hapo hata miezi 6,
Bashite Yuko sub ili kudhibiti vyombo vya habari hasa online media pia kuleta propaganda za Simba na Yanga ili kuwapumbaza Gen z
7 Wizara ya utumishi wa umma
Ridhiwani Kikwete
Hii wizara imejimbia kwenye wizara zote
Hapa Rizimoko kateuliwa kama Naibu waziri mkuu tu
Atakuwa anahakikisha wanamtandao wanapata amani ya kutosha ya kula keki ya taifa bila kelele
8. Wizara ya Mambo ya nje
Balozi Kombo
Hapa amekaa Mzanzibar kimkakati tu
Yaani Kizimkazi hamwamini yeyote zaidi ya home boy ili akamsifie huko kimataifa
9 Wizara ya Elimu
Prof Mkenda
Wanu
Hii wizara haipo kimkakati, ni kati ya wizara nyepesi mno
Hapo Wanu binti Samia ambaye Nina wasiwasi na elimu yake, Kawekwa ili kuzua mjadala Mitandao na atahamishiwa wizara ya Ulinzi au wizara ya fedha siku za usoni
10. Wizara ya Ulinzi
Nyashaho
Huyu bwana simfahamu vyema.
Nikipata taarifa sahihi kama katokea Zanzibar ndo nitatia neno
Ila kimsingi simjui hata kidogo na sijui Coach anataka kumtumia vipi