Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,990
Utakua umechanganya na namba bee hapoMuuza unga huyu Kwa Miaka yote
Utakua umechanganya na namba bee hapoMuuza unga huyu Kwa Miaka yote
Malipo ni hapahapa Duniani!Mbunge Mstaafu Wa K'ndoni ameangukia pua. Baada ya kuwa namba 3. Asubirie huruma Kamati Kuu kupitia Mwenyekiti wa Mtandao hatari
1. Nyamwija
2. Idd Azzan,
3. Tarimba A. aka ......
Ni sawa wengi tu 2020 waliingia Kwa nguvu ya maguGwajima mwenyewe amshukuru Magufuli
Mbona Alikuwa mbunge ilikuwaje akamuweza zungu?Hakuna cha Gwajima wala nani yule Ponjoro hamuwezi kabisa Azzan 😂😂
Sisi ndio Kino boys 🙏🙏
Safi sana mzee wa dona na sembeMbunge Mstaafu Wa K'ndoni ameangukia pua. Baada ya kuwa namba 3. Asubirie huruma Kamati Kuu kupitia Mwenyekiti wa Mtandao hatari
1. Nyamwija
2. Idd Azzan,
3. Tarimba A. aka ......
Yeye anataka Namba plate ya Mbunge na kucheza na wajukuu na kujenga himaya ya ponjoro wa KinondoniSafi sana, Ponjoro Hana adabu
Mbunge Mstaafu Wa K'ndoni ameangukia pua. Baada ya kuwa namba 3. Asubirie huruma Kamati Kuu kupitia Mwenyekiti wa Mtandao hatari
1. Nyamwija
2. Idd Azzan,
3. Tarimba A. aka ......
Mama Abdul ameshindwa kumsaidia na kumtetea kote kule Abdul?Mbunge Mstaafu Wa K'ndoni ameangukia pua. Baada ya kuwa namba 3. Asubirie huruma Kamati Kuu kupitia Mwenyekiti wa Mtandao hatari
1. Nyamwija
2. Idd Azzan,
3. Tarimba A. aka ......
Aliondolewa na UKAWA 2015Mbona Alikuwa mbunge ilikuwaje akamuweza zungu?