Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,103
- 41,721
Kwavile wa kwanza na WA pili hawataki au? Subiri uone maana ngumi zinatemvea balaa😂anarudishwa huyo tusubirini
Kwavile wa kwanza na WA pili hawataki au? Subiri uone maana ngumi zinatemvea balaa😂anarudishwa huyo tusubirini
Ndo wako jimbo moja au?Sasa tunashangilia kuanguka Ponjoro tunasahau mwamba Idd Azan aka Zungu is back.
ndani mitaa ya Kabul-Afghanistan.
Akate Bima ya Afya kabisaPonjoro sasa itabidi erejea kitaa kusugua benchi na kupauka, anarejea rasmi kutafuna skanka na mirungi mpaka achanganyikiwe.
Gwajima akiongea muwe mnamuelewaUsicheze na Moja Takatifu la Mitume 😂
Azan ni mtoto wa Kinondoni ujueSasa tunashangilia kuanguka Ponjoro tunasahau mwamba Idd Azan aka Zungu is back.
ndani mitaa ya Kabul-Afghanistan.
Kinondoni ni full ngada ndio sababu Chadema waliweka HQ yaoKatika muuza dawa kaingua muuza dawa
Ponjoro hamuwezi AzzanHuyo CHAWA atabebwa tu.
Ujinga huu unaandikaKinondoni ni full ngada ndio sababu Chadema waliweka HQ yao
Mkuu namba moja ni nani huko?Mbunge Mstaafu Wa K'ndoni ameangukia pua. Baada ya kuwa namba 3. Asubirie huruma Kamati Kuu.
Hakuna cha Gwajima wala nani yule Ponjoro hamuwezi kabisa Azzan 😂😂Gwajima akiongea muwe mnamuelewa
😂
Unawajua akina Sugu weye? 😂Ujinga huu unaandika
Betting machinesPonjoro sasa itabidi erejea kitaa kusugua benchi na kupauka, anarejea rasmi kutafuna skanka na mirungi mpaka achanganyikiwe.
Baba LevoNani mwingine kaangukia mdomo? Tupieni updates hapa!