granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,812
- 11,146
Ukisagana na gwaj boy kuna jambo litakukuta, anza na konda boy, njoo job, na sasa ponjoro just to mention a fewKama namuona Gwajima anavyochekelea hapo.
Ukisagana na gwaj boy kuna jambo litakukuta, anza na konda boy, njoo job, na sasa ponjoro just to mention a fewKama namuona Gwajima anavyochekelea hapo.
Mbunge Mstaafu Wa K'ndoni ameangukia pua. Baada ya kuwa namba 3. Asubirie huruma Kamati Kuu kupitia Mwenyekiti wa Mtandao hatari
1. Nyamwija
2. Idd Azzan,
3. Tarimba A. aka ......
Sugu hayumo huko wala hajuwi mambo hayoUnawajua akina Sugu weye? 😂
Gwajima tulia basiPonjoro wa Kinondoni chaliiii kudadeq !!
Acha ujingaSafi sana, Ponjoro Hana adabu
Kwamba chadema nao walikua ni wauza nganda?Kinondoni ni full ngada ndio sababu Chadema waliweka HQ yao
Imagine?Huyu ndo alikuwa anataka wabunge wapewe. Special no za magari p.bvu kabisa