DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,311
- 83,181
Unazingua wwUnawajua akina Sugu weye? 😂
Unazingua wwUnawajua akina Sugu weye? 😂
Gwajima mwenyewe amshukuru MagufuliGwajima akiongea muwe mnamuelewa
😂
Aende akaombe namba binafsi ya gari lake sasa. Zile za wabunge hazipati tena.Mbunge Mstaafu Wa K'ndoni ameangukia pua. Baada ya kuwa namba 3. Asubirie huruma Kamati Kuu.
1. Nyamwija
2. Idd Azzan,
3. Tarimba A. aka ......
Na kuongeza Wake walioachika pengine. Elimu yenyewe ya kuunga-ungaAsubiri teuzi..
Alitoa hela nyingi sana kumuangusha Azan ndio maana nae akajua trip hii atamdondosha jamaa hamna kitu hana hata hiyo Elimu ya kuunga Unga hana mazee..Na kuongeza Wake walioachika pengine. Elimu yenyewe ya kuunga-unga
Ana nini cha muhimu sana hadi arudishweanarudishwa huyo tusubirini
na la kimisionari.Usicheze na Moja Takatifu la Mitume 😂
Hana njaa huyo kama wewePonjoro sasa itabidi erejea kitaa kusugua benchi na kupauka, anarejea rasmi kutafuna skanka na mirungi mpaka achanganyikiwe.
Kaishia la saba?Alitoa hela nyingi sana kumuangusha Azan ndio maana nae akajua trip hii atamdondosha jamaa hamna kitu hana hata hiyo Elimu ya kuunga Unga hana mazee..
Ni muda wa kwenda kuchezesha kamari sasa!Mbunge Mstaafu Wa K'ndoni ameangukia pua. Baada ya kuwa namba 3. Asubirie huruma Kamati Kuu kupitia Mwenyekiti wa Mtandao hatari
1. Nyamwija
2. Idd Azzan,
3. Tarimba A. aka ......