Zamani nilikuwa naweka FT naemdesha hadi E kabisa. Nikaua pump OG na ya Kariakoo. Nikaambiwa usisubiri gari ifike E ikifika robo jaza. Na kweli nina pump used sasa hivi mwaka wa pili iko poa.Runx ilikua unatembea na taa inawaka 24/7 hadi ikazoea. Nikaua pump. Nikikaa vema nitaanza na mimi marufuku taa kuwaka.
Hapo FT unakuta lita 60. Mimi Lita 40, nikisafiri isipovuka kilometa 1,400 itabidi nisile vizuri au nisilale pazuri ili kujiadhibu. Nimeendesha juzi kwenda Morogoro Ractis tu. Nimeona inatumia mafuta balaa.Wewe Hybrid imekuharibu,usirudi ICE nenda EV kabisa. Hapo mwenzio nashangiliq maanake lile lingine FT ukifikisha 400km shukuru Mungu
Oh niliambiwa magari mengi pump zake zinategemea mafuta kupoozwa. Kwahiyo ukiendesha hadi E ile pump inakua ipo juu haigusi mafuta kwahiyo inapata joto. Pia rahisi kuvuta uchafu kwenye tank. Sijui ndio reasons ila zina make sense.Zamani nilikuwa naweka FT naemdesha hadi E kabisa. Nikaua pump OG na ya Kariakoo. Nikaambiwa usisubiri gari ifike E ikifika robo jaza. Na kweli nina pump used sasa hivi mwaka wa pili iko poa.
Kuna gari zinavumilia low fuel ila nyingine pump inakufa haraka.
Yeah FT 60L hapa mjini na foleni ilikuwa nikifikisha 400km najipongeza.Hapo FT unakuta lita 60. Mimi Lita 40, nikisafiri isipovuka kilometa 1,400 itabidi nisile vizuri au nisilale pazuri ili kujiadhibu. Nimeendesha juzi kwenda Morogoro Ractis tu. Nimeona inatumia mafuta balaa.
Yeah petrol inatumika kupooza fuel pump.Oh niliambiwa magari mengi pump zake zinategemea mafuta kupoozwa. Kwahiyo ukiendesha hadi E ile pump inakua ipo juu haigusi mafuta kwahiyo inapata joto. Pia rahisi kuvuta uchafu kwenye tank. Sijui ndio reasons ila zina make sense.
Nina mwanangu gari ikiwa chini ya ribo tank hatoi kama hana uhakika wa kuweka mafuta. Na pia mafuta ya elfu 20 haweki (tena enzi izo 2,800 Tsh) anasema bora iyo pesa apande bodaboda.
Sitaki ata bure. 😂😂😂Yeah FT 60L hapa mjini na foleni ilikuwa nikifikisha 400km najipongeza.
Uzi Bajaj pia utakuja.Kwani bajaj au bodaboda hazitumii petrol? Au wananunua vidumu?
Kuna baadhi ni masafi kabisa mpaka gari za walamba asali wanatuma vijana wakaweke kwa maelekezo.Usafi wa hayo mafuta ukoje?
Mafuta kama mafuta hayana shida maana wanapiga tu. Issue wasiwe tu wanayachakachua tu ili kuongeza kipato.Maanake usije kujikuta unanunua nozzles kwa kusave 20k
Ndugu zangu tubadilike. Hivi kweli bado kuna mtu dunia ya Leo anaamini kwamba kuwa na gari ni utajiri? Seriously? Aisee ndo maana CCM inatuchukulia powa. Mimi nadhani ni swala la vipaumbele kwenye maisha yetu ya kila siku.uzi wa matajiri wa Jf
.
Majobless tunachukua notes
Mkuu hili swala liangalie kwa mapana yake. Diesel Ndo engine ya uchumi wa taifa. Machine zote za viwandani zinategemea diesel kwenye uzalishaji. Ukipandisha bei ya diesel kiufupi unaumiza uchumi na mwananchi wa kawaida anayetegemea hizo bidhaa za viwandani. Nimeshtuka sana kuona serikali inalipotezea hili swala kama vile hawaelewi implications za kupandisha bei ya diesel. Ni kuweka uchumi rehani. Mwisho wa siku anayeumia ni mwananchi wa kawaida.Ikirudi 2,800-3,000 sio mbaya. Elfu 10 unapata 3L kutoka 2L. Karibia 40% drop.
Diesel wanaumia this time
Neno. Vijijini kwenye mashine za kusaga wataumia, majenereta nk nk nk. Mbeba msalaba ni mtu wa chini kabisa.Mkuu hili swala liangalie kwa mapana yake. Diesel Ndo engine ya uchumi wa taifa. Machine zote za viwandani zinategemea diesel kwenye uzalishaji. Ukipandisha bei ya diesel kiufupi unaumiza uchumi na mwananchi wa kawaida anayetegemea hizo bidhaa za viwandani. Nimeshtuka sana kuona serikali inalipotezea hili swala kama vile hawaelewi implications za kupandisha bei ya diesel. Ni kuweka uchumi rehani. Mwisho wa siku anayeumia ni mwananchi wa kawaida.
Nasikia mawaziri wa CCM hawataki wananchi wawe na hali nzuri kiuchumi..Ndugu zangu tubadilike. Hivi kweli bado kuna mtu dunia ya Leo anaamini kwamba kuwa na gari ni utajiri? Seriously? Aisee ndo maana CCM inatuchukulia powa. Mimi nadhani ni swala la vipaumbele kwenye maisha yetu ya kila siku.
Wababe washasaini MOU kusitisha vita. Brent crude imeshuka mpaka $75 hapo kati ilikuwa $105. Tuonbe iendelee hadi bei za zamani.Neno. Vijijini kwenye mashine za kusaga wataumia, majenereta nk nk nk. Mbeba msalaba ni mtu wa chini kabisa.
Duh nimecheka sana. Kuna post hapo juu jamaa kamalizia kwa kusema 'anaeumia ni mwananchi wa kawaida' nikataka nimjibu unafikiri wanaopandisha bei wanajali mwananchi wa kawaida akiumia? Nikajisemea wacha nisiletw siasa kwemye huu uzi.Nasikia mawaziri wa CCM hawataki wananchi wawe na hali nzuri kiuchumi..
Kwahiyo j5 ijayo tusisikie elfu 4Wababe washasaini MOU kusitisha vita. Brent crude imeshuka mpaka $75 hapo kati ilikuwa $105. Tuonbe iendelee hadi bei za zamani.