Tarehe kama ya leo Oktoba 25, 2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha, mnakumbuka?

Tarehe kama ya leo tulifanya maamuzi ya kidemokrasia kama taifa katika uchaguzi mkuu na kupata serikali iliyoko madarakani sasa. Je wewe mdau wa maendeleo ya taifa lako unasemaje, unatembea kifua mbele na kujipongeza kwa uchaguzi wako kwa kutumia kura yako ama unajutia kwa kupeleka kura yako ulikoipiga,
 
Hata sina uhakika kama kura yangu ilihesabiwa kulingana na matakwa yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…