M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
...tena wa shoka!Mwanaume amefika
...tena wa shoka!Mwanaume amefika
Acha kulinganisha msiba na vitu vya kutaka sifa. Uhuru watu wanaenda kwa utaratibu wala hakuna anaetafuta sifa kama ninyi.Je na nyomi la Kule uwanja wa Uhuru watu 500 kati ya watu milioni 50 vipi?? We kweli utopolo unadhani watanzania wote wanaishi Dar??
Uwanjani tumeshajaa kabla ya ujio wako.asante na karibu
Taarifa ya Tundu Lissu na viongozi wengine wa Chadema ya kuhudhuria uagwaji na utoaji wa heshima za mwisho wa Marehemu Mkapa kesho imesababisha hamasa kubwa ya umati wa watu kuhudhuria tukio hilo kiasi ambacho kinatarajiwa kuvunja rekodi (mimi pia kwa mara ya kwanza nitahudhuria)
Natoa wito kwa askari wa usalama wa barabarani kuongeza juhudi za kudhibiti lundo la magari yatakayofika eneo hilo.
Hukunielewa.....Unaona wivu?? Muda wa kupumzika kwani katoka kulima?? Acheni uvivu.
Mkuu, imethibitishwa? Maana sisi wengine tuko mbali na mediasiku ya j 5 ni mapumziko kitaifaView attachment 1519009
Naskia barozi wa US kaomba lissu apewe podium aongee machache kusalimia watzMbona simuoni hapa uwanjani au wamemficha mbali na jukwaa kuu.?
Pia inabidilishwa mavazi na kuimarisha madawa ya kuhifadhiaKwanini kila siku maiti inarudishwa Lugalo, au wanaogopa wahuni wa temeke wanaweza kuibeba na kuzama nayo Chimborazo?