Tarehe 14/10/2026 Tunamkumbuka Nyerere

Tarehe 14/10/2026 Tunamkumbuka Nyerere

Ripoti ya Kilimo ya Tanzania ya mwaka 2023/2024, takwimu za uzalishaji zilionyesha yafuatayo:

Kilimo
+1

Aina ya nafaka

Uzalishaji wa 2023/2024

Mahindi

Takribani tani milioni 10.08

Mpunga

Takribani tani milioni 3.05

Mtama na uwele

Takribani tani milioni 1.34

Ngano

Takribani tani 118,521

Jumla ya nafaka

Tani milioni 14.59
 
uzalishaji wa parachichi Tanzania ulifikia takribani tani 195,162, huku tani 35,627 zikitarajiwa kuuzwa nje ya nchi.
 
Tani 61,215.55 — uzalishaji ulioripotiwa kwa mwaka wa fedha 2024/2025, kwa mujibu wa taarifa ya bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyotajwa na Daily News
 
Back
Top Bottom