Tarehe 14/10/2026 Tunamkumbuka Nyerere

Tarehe 14/10/2026 Tunamkumbuka Nyerere

Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) inamiliki jumla ya meli 18 katika maziwa ya Victoria, Tanganyika na Nyasa.
 

Idadi ya Vifo vinavyohusiana na hiv/aid kuanzia 1961​

MwakaIdadi ya vifo
201053,000
201536,000
202325,000
 
Elimu Elimu Elimu Tayari

Kutangaza na Kuuza hii bidhaa ni kazi ngumu sana...

R.I.P classmate kumbe kutoelewa ni kazi


1000024510.jpg
 
Elimu Elimu Elimu Tayari

Kutangaza na Kuuza hii bidhaa ni kazi ngumu sana...

R.I.P classmate kumbe kutoelewa ni kazi


View attachment 3690351
Legacy ya nyerere nchi hii imegubikwa na madhaifu mengi kama vile mfumo wa siasa ya ujamaa, muungano, azimio la Arusha, katiba ya 1977, nk, ukiangalia jinsi alivyokurupuka katika mambo hayo utaona wazi kuwa nyerere alikuwa overrated sana
 
Legacy ya nyerere nchi hii imegubikwa na madhaifu mengi kama vile mfumo wa siasa ya ujamaa, muungano, azimio la Arusha, katiba ya 1977, nk, ukiangalia jinsi alivyokurupuka katika mambo hayo utaona wazi kuwa nyerere alikuwa overrated sana
Kwa wengine anaweza fanana na adolf hiltre wa Tanzania maana kuuza hii bidhaa ni kazi ngumu sana

1000024507.jpg
 
Nyerere alihusishwa na kuanzishwa kwa zaidi ya vijiji 7,000 vya Ujamaa nchini Tanzania.
 
Kufikia mwaka 1976, Tanzania ilikuwa na takribani vijiji 7,684 vilivyoanzishwa au kuendelezwa kupitia mpango wa vijiji wa Ujamaa. Kufikia mwaka 1979, idadi ilikuwa imefikia takribani vijiji 8,210.
 
Tanzania Bara ina takribani vijiji 12,333. Takwimu za Serikali zilizotolewa Bungeni na Wizara ya Ardhi zinaonyesha idadi hiyo.
 
Kipengele

Kiasi

Mbegu za mboga zilizozalishwa nchini

Tani 263

Mbegu za mboga zilizoagizwa kutoka nje

Tani 732.40

Jumla ya upatikanaji

Tani 995.87
 
Ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2024/2025, uzalishaji wa mikunde nchini Tanzania Bara ulikuwa takribani tani milioni 2.471 (tani 2,471,300). Takwimu hizi ni za mwaka wa kilimo 2024/2025 na ni za muda (provisional).
 
Uzalishaji wa kila zao kwa tani
Zao

Uzalishaji (tani)

Alizeti

1,222,210

Karanga

609,340

Ufuta

257,041

Michikichi

74,303

Soya

35,025

Chanzo: Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Statistical Abstract 2025.
 
Back
Top Bottom