MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 5,264
- 10,846
Hakika Amani Nyumba ni msingi!Nyerere aendelee kupumzika kwa amani
Huku ndiko ccm inapendwa!Mikoa yenye idadi ndogo ya bati: Tabora (55.6%), Lindi (60.2%), Mtwara (66.8%), Rukwa (68.9%), na Katavi (72.0%)
Cc. RRONDOUpungufu wa jumla: Tanzania inakabiliwa na upungufu wa nyumba za makazi takribani milioni 3, huku pengo la mahitaji likiongezeka kwa takribani nyumba 390,000 kila mwaka.
Hii kwann mnatumia data za 2021? Angalieni makasino yalivyojazana tena ya wachinaIdadi ya kasino Tanzania
Kasino za ana kwa ana 10
Takwimu ya tathmini ya sekta ya fedha ya mwaka 2021.
Kasino za mtandaoni 6
Takwimu ya mwaka 2021; idadi ya sasa inaweza kuwa tofauti
vifo vyote Tanzania Bara na Zanzibar, pamoja na vifo vinavyotokana na magonjwa, uzee, ajali, majanga, vita na matukio mengine, kuanzia mwaka 1961 hadi sasaSasa si ungeandika insha ya pamoja tu pale juu mboni km unafanya kitu bila mpangilio?
Huu ni uongo..Haswa kama Umetembelea hiyo mikoa..Dodoma kila mtu anaijua .Nyumba zilizoezekwa kwa bati: Mikoa ya Njombe na Kilimanjaro inaongoza kwa kuwa na asilimia kubwa zaidi ya makazi yaliyoezekwa kwa bati (asilimia 91.2 kila mmoja), ikifuatiwa na Dar es Salaam (89.3%), Kagera (89.3%), na Iringa (84.3%)
Mikoa yenye idadi ndogo ya bati: Tabora (55.6%), Lindi (60.2%), Mtwara (66.8%), Rukwa (68.9%), na Katavi (72.0%)