Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

Simara

JF-Expert Member
Oct 1, 2014
7,356
23,279
Habari Wana-JF nina mtu wangu wa karibu anahitaji kufungua Branch ya KFC Mkaoni Mbeya ila hajui ataanzia wapi, alisikia tetesi kuna kiasi cha fedha ukiwa nacho unaruhusiwa kufungua.

Kile kiasi ameshakipata ila sasa hana taarifa nyingine yoyote inayoweza kumsaidia. Kwa yoyote alie na taarifa zitazoweza kumsaidia afanikishe ndoto yake nitashukuru mki-share na mimi nitamfikishia

Asanteni.

tusameheane kama kuna popote ambapo hapajaeleweka wengine sio waandikaji wazuri.
 
Hello,unaweza kufanya mwasiliano nao direct,they will provide you with information about their franchise requirements including financial qualifications,location criteria and training programs au kwa msaada zaidi wasiliana na Doughworks LTD company iliyo Tanzania-Masaki ni company shiriki inayosimamia na kuendesha KFC branches na BAO cafe baadhi Tanzania,watakupa msaada wa karibu na muongozo ila msisahau mawasiliano na KFC wenyewe.
 
Habari Wana-JF nina mtu wangu wa karibu anahitaji kufungua Branch ya KFC Mkaoni Mbeya ila hajui ataanzia wapi, alisikia tetesi kuna kiasi cha fedha ukiwa nacho unaruhusiwa kufungua.

Kile kiasi ameshakipata ila sasa hana taarifa nyingine yoyote inayoweza kumsaidia. Kwa yoyote alie na taarifa zitazoweza kumsaidia afanikishe ndoto yake nitashukuru mki-share na mimi nitamfikishia

Asanteni.

tusameheane kama kuna popote ambapo hapajaeleweka wengine sio waandikaji wazuri.
Angalia taarifa kuhusu hatua za kuanzisha tawi la KFC hapa chini:
About KFC franchise
When one thinks of the best restaurant to get crispy and freshly-made chicken, the mind instantly goes to KFC. It is one of the giants in the fast food industry. And, the brand’s logo with Colonel Sanders on a bucket is known to almost every person in the world. Ambitious and enthusiastic entrepreneurs should consider filling a KFC franchise application.

KFC franchise is a great way to enter a restaurant and fast food industry with a lot of help from the franchisor. Read extra information on the franchise and its cost below, and submit an application if you are interested.

How to open a Kentucky Fried Chicken franchise?
Ensure you have adequate capitalization.
In order to open a KFC franchise, you must have a net worth of more than $1,500,000.
Appreciate the investment required for a restaurant franchise.
You will need to consider building and real estate costs, the cost of equipment and signs, the costs of licenses and permits, the cost of uniforms, the cost of insurance, etc.
Evaluate your prior experience and strengths.
You should thoroughly evaluate your prior business experience before applying to become a KFC franchise owner.
Assess market availability.
You will want to look at the market availability for KFC franchises and see if there are available markets in your location of interest before proceeding with the franchising application.
Submit your application.
Your application will be reviewed by the KFC franchise team. You will be emailed a confirmation receipt upon reception of your online application, where we will additionally provide the contact details of the franchise owner.
Receive approval & opening your KFC franchise.
You will receive franchise approval once your financial and background checks are completed. Approval will only be given to candidates who meet all the requirements of franchise owners.

How much does KFC franchise cost?
KFC has the franchise fee of up to $45,000, with total initial investment range of $1,442,550 to $2,771,500.

Initial investments: $1,442,550 - $2,771,500
Net-worth Requirement: $1,500,000
Liquid Cash Requirement: $750,000

See the table below:

1712660091397.png

As you can see hizo costs hapo, inabidi mtu ajipange kweli kweli, sio rahisi. Pia, inabidi kuwe na uhakika wa kupata returns sehemu anayofungulia kwamba atapata wateja wa kutosha watakaomuwezesha kupata faida, ambayo kwa Mbeya sioni kama atapata returns kwa hizi costs.

KFC Mbeya? Anaenda kupoteza pesa,
 
View attachment 2958699

As you can see hizo costs hapo, inabidi mtu ajipange kweli kweli, sio rahisi. Pia, inabidi kuwe na uhakika wa kupata returns sehemu anayofungulia kwamba atapata wateja wa kutosha watakaomuwezesha kupata faida.
Simara
Kwa mbeya inakula kwake, atlest Arusha, kwa nje ya Dar.
 
mbeya usijaribu kabisa, inakula kwako. Nje ya DSM may be Arusha..... kama anapendelea biashara ya chakula anaweza kupitia kwa wabobezi......ambao watakusaidia kuangalia eneo na kukushauri nini cha kufanya.....ndio kazi yao so it cost pia.....na watakusimamia kwa mwezi 1-3....itatagemea na makubaliano....wapo wa uhakika.
 
Na Arusha wameshafungua mwaka huu.
 
Angalia taarifa kuhusu hatua za kuanzisha tawi la KFC hapa chini:
About KFC franchise
When one thinks of the best restaurant to get crispy and freshly-made chicken, the mind instantly goes to KFC. It is one of the giants in the fast food industry. And, the brand’s logo with Colonel Sanders on a bucket is known to almost every person in the world. Ambitious and enthusiastic entrepreneurs should consider filling a KFC franchise application.

KFC franchise is a great way to enter a restaurant and fast food industry with a lot of help from the franchisor. Read extra information on the franchise and its cost below, and submit an application if you are interested.

How to open a Kentucky Fried Chicken franchise?
Ensure you have adequate capitalization.
In order to open a KFC franchise, you must have a net worth of more than $1,500,000.
Appreciate the investment required for a restaurant franchise.
You will need to consider building and real estate costs, the cost of equipment and signs, the costs of licenses and permits, the cost of uniforms, the cost of insurance, etc.
Evaluate your prior experience and strengths.
You should thoroughly evaluate your prior business experience before applying to become a KFC franchise owner.
Assess market availability.
You will want to look at the market availability for KFC franchises and see if there are available markets in your location of interest before proceeding with the franchising application.
Submit your application.
Your application will be reviewed by the KFC franchise team. You will be emailed a confirmation receipt upon reception of your online application, where we will additionally provide the contact details of the franchise owner.
Receive approval & opening your KFC franchise.
You will receive franchise approval once your financial and background checks are completed. Approval will only be given to candidates who meet all the requirements of franchise owners.

How much does KFC franchise cost?
KFC has the franchise fee of up to $45,000, with total initial investment range of $1,442,550 to $2,771,500.

Initial investments: $1,442,550 - $2,771,500
Net-worth Requirement: $1,500,000
Liquid Cash Requirement: $750,000

See the table below:

View attachment 2958699

As you can see hizo costs hapo, inabidi mtu ajipange kweli kweli, sio rahisi. Pia, inabidi kuwe na uhakika wa kupata returns sehemu anayofungulia kwamba atapata wateja wa kutosha watakaomuwezesha kupata faida, ambayo kwa Mbeya sioni kama atapata returns kwa hizi costs.
Simara
Net worth iwe 4 BILLION AISEEE
 
Anaenda kufa kwa presha mbeya kiepe cha buku mnakula watu watatu nakinabaki alafu et uwauzie kiepe 5000
 
Tupe kwa uchache kuhusu Pizza Hut
Tuliambiwa: kwa Tanzania, Dough Works Limited, ndio franchise wa Pizza Hut na KFC. Kwahiyo, mtu (aliepo Tanzania) akitaka kufungua sub-franchise anawacheki hao. Ndio watampa taratibu zote.

Naona jamaa kawezeka zaidi miji mikubwa mikubwa kwa Dar sijui kama atakupatia ruhusa ila kwa mikoani akiona atafaidika anaweza akakuachia.
 
Tuliambiwa: kwa Tanzania, Dough Works Limited, ndio franchise wa Pizza Hut. Kwahiyo, mtu (aliepo Tanzania) akitaka kufungua sub-franchise anawacheki hao. Ndio watampa taratibu zote.

Naona jamaa kawezeka zaidi miji mikubwa mikubwa kwa Dar sijui kama atakupatia ruhusa ila kwa mikoani akiona atafaidika anaweza akakuachia.
Shida ni hizo initial investment
 
Back
Top Bottom