Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,417
Kwahiyo mababu zetu wa zamanii wotee walikua wazinifu..Kwa nini umefikilia kufunga ndoa ya kiserikali na si ya dini? Dini zenu tofauti sawa, kwanini mmoja wenu asibadili, miaka 8 ni mingi umezini imetosha sasa au unataka kuendelea kuwa mzinifu?
Kwahiyo wajiandae na moto tu?
Acha kuwaza mgando.
Hao waarabu na wazungu wasingekuja ungekua dini gani?
#YNWA