king_azy
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 265
- 947
kwa ukristo nadhani kuna dhehebu wanaikubali hiyo ndoa japo inabidi muende kuibaliki hiyo ndoa ila kwa imani ya kiislam hiyo ndoa haitambuliki ni sawa tu kama mnavyoishi sasa hivi
Mke ana imani Kali ya kikristo ,na kuja kwenye uislam anakuwa mgumu,siwezi kumlazimisha cha muhimu upendo masuala ya dini kila mmoja abaki na yake