Taratibu za kufunga ndoa ya Serikali (Bomani)

Taratibu za kufunga ndoa ya Serikali (Bomani)

hii dini inawatisha sana waumini wake 😞

Ok!! Uzuri ni kwamba wewe siyo Muumini wa hiyo Dini.

Unakaribishwa sana wala hakuna kutishana kama unavyofikiria. Amesema Mtume wetu Mtukufu"Uislamu ni mwepesi,atakayeufanya kuwa mzito basi utamshinda" au kama alivyosema.
 
Kitakachotokea kwa hao watoto watafuata imani ya mama kwa kuwa mama muda mwingi yuko na watoto tofauti na baba.
Watoto watakuwa na ubini wa baba, imani ya mama. Mimi ni muhanga kwenye hili
Je baada ya kufuata imani ya mamako na ubini wa babako kipi imepungua katika maisha yako ya kila siku?
 
Back
Top Bottom