Taratibu za kufunga ndoa ya Serikali (Bomani)

Taratibu za kufunga ndoa ya Serikali (Bomani)

Sina ujuzi ila ndoa ya serikali haina "alichounganisha Mungu asitenganishe binadamu " mambo ya imani weka pembeni, nenda ofisi ya mkuu wa wilaya utapewa taratibu zote
 
Mimi naomba kufahamishwa sababu ya kufungwa ndoa bomani

Nijuavyo ndoa ni sehemu ya ibada kwa maana inafungamana na imani

Lengo hasa nini? wajuvi tafadhali
 
Mimi naomba kufahamishwa sababu ya kufungwa ndoa bomani

Nijuavyo ndoa ni sehemu ya ibada kwa maana inafungamana na imani

Lengo hasa nini? wajuvi tafadhali
imani ipo kwenye dini tu? kumbuka hata mila zina imani
 
serikali inakubali imani yoyote ile.
kati ya dini na imani kipi kilichoanza? na kati ya binadamu na dini kipi kilichoanza?
Mkuu Tusiame nje ya mada,Hapa tunazungumzia ndoa ya bomani,mi nimekuuliza ivyo kwasababu uliye m-quote aliandika kuwa ndoa ni ibada na inahusishwa na imani akimshali jamaa asinge ndoa ya bomani.
Wewe ukauliza kuhusu dini pekee ndio yenye imani, ukaongeza na mila pia kuwa zina imani,ni sawa.
Ndio maana nikakuuliza je uko bomani kuna imani yoyote inahusishwa ikifungwa ndoa?
 
Nataka kujua lengo la ndoa hizo nini kwa maan hazitamtakasa kwa Mungu

Je kunafaida gani mana walishakua pamoja kwa mda mrefu
ya kwa Mungu watajibu wenyewe au serikali iliyoidhinisha hyo ndoa, waoane tu maana ndoa ya kiserikali inatambulika kila mahali all over the world
 
Mkuu Tusiame nje ya mada,Hapa tunazungumzia ndoa ya bomani,mi nimekuuliza ivyo kwasababu uliye m-quote aliandika kuwa ndoa ni ibada na inahusishwa na imani akimshali jamaa asinge ndoa ya bomani.
Wewe ukauliza kuhusu dini pekee ndio yenye imani, ukaongeza na mila pia kuwa zina imani,ni sawa.
Ndio maana nikakuuliza je uko bomani kuna imani yoyote inahusishwa ikifungwa ndoa?
maana ya ndoa ya kiserikali ni muunganiko wa hiari kati ya mwanaume na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao yote.
 
Ufungishaji Ndoa Kiserikali... Sheria ya ndoa pia inaruhusu wanandoa kufunga ndoa kwa kufuata taratibu za kiserikali. Mara nyingi ndoa za kiserikali zinakuwa zikifungwa kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya.
 
Back
Top Bottom