Na vipi ndugu zangu, naweza hata kumtuma mtu kunichukulia labda kwa kumpa utambulisho wa namna fulani?
Hivi mwl wenu Darlene bado yupo pale?
Ana kingreza kizuri sana yule binti,ata ivo pia sio mchoyo.
Labda sio mchoyo kwenye kutoa "marks"/"misonge"!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:Darlene yupo mkuu. Siyo mchoyo una maana gani mkuu!