Taratibu za Graduation ya Mzumbe Dar Bussiness School zikoje?

Dr. Ndimu

JF-Expert Member
Oct 30, 2012
725
146
Tafadhalini ndugu zangu mlioko Dar mnafahamu au mejua taratibu za Graduation ya masters hapo tarehe 14 kama vile majoho yanatolewa lini na kwa shilingi ngapi na vitu vingine vinavyoweza tusaidia sisi tulioko mbali na dar..
 
Majoho yanaanza kutolewa jumatatu th 10/11/12 kwa gharama ya Tshs 45,000/- na utakaporudisha joho hilo ndani ya siku 7 utakuwa refunded Tshs 10,000/-. Karibu DIAMOND JUBILEE on 14/11/12.
 
Asante sana Katalina, Hongera sana nadhani nawe ni mshiriki...
 
Na vipi ndugu zangu, naweza hata kumtuma mtu kunichukulia labda kwa kumpa utambulisho wa namna fulani?
 
Hivi mwl wenu Darlene bado yupo pale?
Ana kingreza kizuri sana yule binti,ata ivo pia sio mchoyo.
 
Back
Top Bottom