Tapeli huyu akamatwe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tapeli huyu akamatwe.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FMuhomi, Dec 15, 2011.

 1. F

  FMuhomi Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Ilikuwa ni siku ya tarehe 12 Dec 2011 nikiwa Oil com Ubungo nikiwa namsubiri mgeni wangua akitokea mkoani,akaja jamaa mmoja mweusi hivi,wakati nawasha gari langu,akaniomba nimpe hela,eti gari yake imeisha mafuta na pia kadi yake ya ATM imenesa kwenya ATM na hana msaada,nikamwonea huruma hasa nikijua shida ya magari, pia nikamwomba namba yake ya simu ili tutafutane na aweze kuresha hiyo elfu kumi, na hapo alikuwa ana funguo za gari na akanionesha Suzuki nikamwamini,kwa utafiti wangu binafsi nimekuja kugundua huyu jamaa anaitwa LUSAJO MWAIPYANA.Huyu jamaa ukimpigia simu hapokei akipokea anajifanya yuko mbali sana shambani na kuwa mtawasiliana baadaye ilhali hapigi simu wala nini.Chukueni tahadhari na huyu jamaa..
   
 2. g

  giningi asilia Member

  #2
  Feb 15, 2014
  Joined: Sep 17, 2013
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lusajo mwaipyana.jpg

  anaitwa lusajo mwaipyana

  huyu jamaa aliwahi kutolewa kwenye jamvini humu kuwa alimtapeli mtu. Utapeli wake huufanya kwenye atm za crdb. Hujifanya kadi yake imezama na huvaa smat na akimfuata mtu humwambia kuwa anafanya jeshini jkt. Taarifa zake za kweye face book zinaonyesha kuwa aliwahi either kusoma ama kufanya kazi kyela sekondari. Pia ni mtu ambaye amewahi kuishi lilongwe malawi na morogoro.

  Mimi alinitapeli tarehe 31-1-2014, ilikuwa siku ya ijumaa. Nilienda kutoa pesa kwenye atm ya crdb ubungo kituo cha mafuta cha oil com. Pale kuna atm-mashine mbili za crdb. Nikamkuta analalamika kuwa kadi yake imemezwa na kwamba alikuwa na gari limemuishia mafuta. Alikuwa kavaa kofia na mavazi smati na tai. Akaniomba nimuazime 20,000/= na kwamba atanirushia baadaye. Nilimuamini kibinadamu na kumpa 20,000/= lakini kabla nilimwambia anipe namba yake ambayo ni 0653 222 215 na nilimuuliza anafanya kazi wapi. Akasema kuwa anafanya kazi jeshini mwenge ni mwanajeshi.

  Kilichotokea baadaye ukimpigia simu hapokei kabisa simu. Katika kugoogle kwenye internet nimekuta malalamiko pia jamii forum kuna mtu alishawahi kumtapeli kipindi cha nyuma na inaonekana kuwa ndio mchezo wake. Ni vyema taasisi husika zikafanya uchunguzi juu ya tapeli huyu. Aidha, hii ni tahadhari kwa waamember wengine.

  taarifa zake kweny e facebook
  kawahi kuishi malawi lilongwe na morogoro
  kasoma/kafanya kazi kyela sekondary
   
 3. Mashaxizo

  Mashaxizo JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2014
  Joined: Jun 13, 2013
  Messages: 6,734
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu ubinadamu wako ulikuponza!
  But akimtokea mtu mwengine, na aongozane nae hadi ndani tu! Ukiwa na dharura mbona kadi yako inatolewa mda huo huo!
  Nakumbuka ya kwangu ilimezwa posta pale (Dar) nilichofanya, niliingia ndani na kuwaonesha tiket! Mbona walinitolea hapo hapo!
   
 4. Sanoyet

  Sanoyet JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2014
  Joined: Apr 3, 2013
  Messages: 1,328
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  anatumia fursa!
   
 5. g

  giningi asilia Member

  #5
  Feb 15, 2014
  Joined: Sep 17, 2013
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli ila hii ni tahadhari kwa watu wengine
   
 6. alphonce.NET

  alphonce.NET JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2014
  Joined: Jul 19, 2013
  Messages: 615
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45


  Mkuu huoni aibu kuelezea mazingira ya kutapeliwa kizembe namna hiyo?
  Ukutane na mtu ATM humjui hakujui akwambie umkopeshe hela kwa dhamana ya namba ya simu, halafu useme eti kakuibia?
   
 7. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2014
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  MKUU usimlaum ubinadam kazi aisee .machoni kama watu
   
 8. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2014
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Its a lesson to ignore strangers!! Mtu analalamika. Kumezwa kadi wakati, kama kumbukumbu zangu ziko sawa huwa kuna namba ya simu ktk hizo atm,is apige tu simu?!!!

  Pole mkuu, as I said earlier take it as. Aa lesson...

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 9. AL SHARPTON

  AL SHARPTON JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2014
  Joined: Feb 6, 2014
  Messages: 2,808
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Well said mkuu
   
 10. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #10
  Feb 15, 2014
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,457
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni bora ungesema ulinpa tu kwa Sababu 20, 000 is nothing.
  Kwa hiyi angekwambia umpe 200, 0000 ungempa ?
   
 11. GeoMex

  GeoMex JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2014
  Joined: Jan 10, 2014
  Messages: 1,527
  Likes Received: 2,102
  Trophy Points: 280
  Yaaani kabisa we ukutane na mtu humjui anakuomba umkope 20,000 na wewe unatoa? Labda kama ulitoa msaada sio mkopo maana sioni utapeli wake huyu jamaa bali ni "ombaomba" tu....
   
 12. S

  So Sam Member

  #12
  Feb 15, 2014
  Joined: Nov 14, 2013
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda kwa kuongezea tu...kusingizia shida,matatizo ya kibinadam na kutoa ahadi kurejesha,hiyo ni style ya utapeli kwa wabongo walio wengi.
  So take care.
   
 13. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2014
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Chukulia tu hiyo hela umempa demu.
   
 14. t

  time theory JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2014
  Joined: Nov 22, 2013
  Messages: 735
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 80
  Ni kweli kama kazini kwake ni mwenge alikuwa anahitaji elfu 2 tu ya lita moja kumfikisha,zaidi ungezidisha ilipaswa kuwa elfu 5.

  Ila usijali kwa Mungu umepanda,utavuna tu kwa zaidi ya hiyo uliyotoa.
   
 15. Peter jaluo

  Peter jaluo JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2014
  Joined: Nov 10, 2013
  Messages: 1,765
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kova kawasikia hataifa nyia kazi
   
 16. Magnificient

  Magnificient JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2014
  Joined: Aug 8, 2013
  Messages: 1,119
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Hiyo inawezekana endapo ni atm za kwenye branch lenyewe, ila kama za mtaani hadi waje wenyewe kuweka hela
   
 17. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2014
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  mkuu huu ubinadamu ndio unatu-cost hadi leo kwenye mambo ya msingi, tunapodanganywa kidogo tu ka kupewa ubwabwa na nyama pori, viwembe, opener za soda/bia (Pasipo soda/Bia), fulana, kofia, kanga etc basi tunawaamini wanaotugaia hvy vitu tukiamini ndo maisha bora!....

  Tubadilike watanzania dunia hii siyo ya kumwamin mtu kwa vitu vidogo tu lts be extra wadadisi!!!
   
 18. RR

  RR JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2014
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Mtu huyu huyu....alishaibia watu wawili tunaofahamiana....ilikua ATM za CRDB Mlimani.
  Anafanya hii kitu jioni wakati benki zimefungwa....anatumia mazingira ya ubinadamu wetu kuiba.......anavizia umetoka kuchukua hela....
  Kabla hujaingia anakua amesimama karibu na ATM akiwa very uneasy.....na anajifanya msamaria mwema kukutahadharisha kwamba usitumia ATM hii inameza kadi.....
  Ukifanikiwa kutoa hela anakupa stori za gari kuishiwa mafuta......na kwamba anaenda Kibaha or something...
  Share this, labda atakatika!!

   
 19. Nyanidume

  Nyanidume JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2014
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 2,156
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  Poleni sana wakuu ndiyo dunia.
   
 20. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #20
  Feb 15, 2014
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ila wahusika wenyewe ndo wamejitapeli hapo:
  unawezaje kutapeliwa kirahisi namna hii!
   
Loading...