Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,565
- 47,021
Pamoja na hayo ila uongozu wa nssf chini ya dau ulifanya mengi makubwa kuanzia makusanyo na complain zilikua chache kwa wanachama kulikoNaona ka Udini kametamalaki,na ajabu Mzee Mkaa hapa alikuwa mkatoliki.
Sent using Jamii Forums mobile app