Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Wanaki handle with care!! Nimekuelewa vyema sana. Nimekuelewa with care!Kipo, TCU wanaki-hanlde with Care
Naamini kipo kama hakipo!!
Wanaki handle with care!! Nimekuelewa vyema sana. Nimekuelewa with care!Kipo, TCU wanaki-hanlde with Care
Hata ukisearch humu utapata hizo habari na kamati ya bunge na CAG walikuwa wanachunguza hiyo miradiHizi ni fitina, huna ushahidi, unaongea usilo na ushahidi nalo na bado unalisimamia! Jambo usilolijua ni usiku wa giza. Kama dau alitenda hilo bila ya shaka Magufuli angemwadhibu.
Nimesoma shule kibao majengo ya kuabudia yako kwa dini zote na sio wakristo pekee. Nimesoma Dar na Arusha. Chuo pia Dar kuna majengo ya kuabudia waislam na wakristo. Waliosahaulika labda wahindu na mabudhaNajaribu kuimagine Waislamu kwa mfano wangekuwa wakiomba maeneo na majengo ya Taasisi za serikali kila wiki kuendesha ibada zao hali ingekuwaje?
Leo ukienda kwenye vyuo vikuu vya Umma almost everyday jioni na kila wiki watu wanageuza lecture rooms kuwa nyumba za kuabdudia, kusali na kuimba nyimbo za kwaya na mapambio, Lakini huwezi kuwaona Wakiristo humu wakilisema hilo, Au waislamu wakimaindi. Lakini eti muislamu kusali ndani ya ofisi mchana muda wa lunch break kuna watu inawakereketa kwelikweli.
Tuache chuki za kidini
Propaganda za uongo unamaanisha nini? Je alisingiziwa ufujaji wa miradi ya nssf kigamboni?ukifanya search humu au google utakutana na hizo habariNdugu, Mbona hao waliomiletea hizo propaganda na uongo, hadi leo wameshindwa kuiendesha NSSF na linadidimia. Wakati wa Dau shirika linangara na linaleta faida, leo linatia hasara.
Tokea Dau aondolewe hadi leo viongozi wangapi wameondolewe kwa kishindwa kuliendesha shirika kiadilifu.
Kill the angel but give it uts due
Baada ya uchaguzi nini kimefuata? Nothing! Means he is innocent! Kuchunguzwa sio kukutwa na hatiaHata ukisearch humu utapata hizo habari na kamati ya bunge na CAG walikuwa wanachunguza hiyo miradi
Nimesoma shule kibao majengo ya kuabudia yako kwa dini zote na sio wakristo pekee. Nimesoma Dar na Arusha. Chuo pia Dar kuna majengo ya kuabudia waislam na wakristo. Waliosahaulika labda wahindu na mabudha
Hivi ile cafeteria kati ya Hall 4 na Hall 6 bado ni "kanisa" kila Jumapili?Najaribu kuimagine Waislamu kwa mfano wangekuwa wakiomba maeneo na majengo ya Taasisi za serikali kila wiki kuendesha ibada zao hali ingekuwaje?