Tanzia ya Dkt. Dau kwa rafiki yake hayati Benjamin William Mkapa

Dau huyu huyu aliefuja miradi kibao ya nssf kama kule kigamboni walinunua viwanja kwa mamilioni ya fedha wakati thamani halisi haifiki 1M
Ndugu, Mbona hao waliomiletea hizo propaganda na uongo, hadi leo wameshindwa kuiendesha NSSF na linadidimia. Wakati wa Dau shirika linangara na linaleta faida, leo linatia hasara.

Tokea Dau aondolewe hadi leo viongozi wangapi wameondolewe kwa kishindwa kuliendesha shirika kiadilifu.

Kill the angel but give it uts due
 
Kuna watu wana udini ila hawajitambui mpaka uwaambie wewe ni mdini. Na anapinga kuitwa mdini kuliko kupinga vitendo vya udini. Na ni kawaida kwao kutoa sifa kwa mtu alielelewa dini nyingine kuhusiana na utendaji wake na huku akidhihirisha imani yake but not the other way around.
 
Huwa najiuliza sn uyu ni dokta wa binadam,wanyama au falsafa?au ni jamii ya akina remmy?
 
Ukabila na Udini ni ujinga mkubwa Sana unao kwamisha maendeleo ya Tanzania
Hapa pamedhihirisha
Hivi sasa watu wenye shahada za Chuo Kikuu nchini China wanakadiriwa kufika 500 milioni, idadi ambayo ni zaidi ya watu wote wa
 
Na bila Mkapa, Dr Dau angekuwa jela sasa hivi

Mkapa alivyosikia mipango ya Dau kutaka 'kushughulikiwa' kama kawaida akatoa lile neno analopenda akimwambia bwana mkubwa usisikilize WAPUMBAVU

Mkapa aliempenda Dau kwa utendaji wake wa kazi kiasi kurecommend awe Waziri katika awamu ya 4
Hakuna mwenye ubavu wa kumfunga Dr Dau kama kulikosekana wa kumfunga Kangi ndio atapatikana wa kumfunga Dau kweli?
 
Enzi za Dau,ili upate kazi nssf,kwanza uwe wa imani yake.....mengine yanafuata.
Una uhakika walioajiriwa kipindi cha Dau walikuwa waislam tupu? Nikikupa majina ya watu walioajiriwa kipindi cha Dau ni wakristo utasemaje?
 
Magu aliomba list ya Staff wote wa NSSF wote na Management yote ili ajiridhishe udini wa Dau…

Hao Waislam wote waliopo NSSF hawakufikia hata 40%

Akatazama kwny Management ya NSSF akakuta hawajafika 50% akaamini Maneno ya Mzee Mkapa kuwa ukiwasikiliza sana 'Wapumbavu' utavuruga Nchi


Media zikajazana Kisutu kumsubiri Dr kumbe mwenzao anapokea Uteuzi Ikulu!
Dr Dau akiwa rais, Kipaumbele chake Cha kwanza itakuwa kuifanya Tanzania iwe nchi ya Kiislam. Jamaa ni mdini Sana. Haamini katika secular state.
 
Yaani wadini mmeshindwa kujizuia na mmetoka mafichoni baada ya kuona tu jina la Dr. Ramadhani Dau. Nakumbuka jinsi mlivyokuwa mnamuandama wakati wa uongozi wa wake pale NSSF, mbona sasa hivi wamewekwa watu wenu mnaoimba nao kwaya lakini ndio kwanza shirika linadidimia na kuingia hasara kila siku. Mna roho mbaya sana nyinyi watu, leo hii Rais Magufuli zaidi ya asilimia 95% ya watu anaowateua ni wakristo wenzake, lakini hatujawaona mkiongea chochote kuhusu hilo na asilimia kubwa ya Waislamu wamejikalia kimya wanawangalia tu. Mlimpinga sana Rais Kikwete usiku na mchana kutokana na udini wenu hadi mkamuandikia waraka. Kila Mtanzania kuanzia Muislamu, Mkristo, Hindu au hata asiye na dini wana haki sawa ndani ya Tanzania yetu, hebu tuondoleeni UPUMBAVU wenu.
 
Hahahaa…pole bwana Mzee!
Ila angalau siku hz mmeanza kuzoea…yale mambo ya kupiga kwaya kwny ofc za Umma, kupamba picha na masanamu ya kidini ofcn yameanza kutoweka
Huyu mzee yaani andiko lake ni udini mtupu; kila kitu udini tu!
 
tulifika pabaya...yule namba1 alitumika vby sn uku gasia (utumish wa nch nzma) wkuruganz kibao walijazn wnyew haohao. ubaguz k2 kbaya sn.
Wakijazana wakristo haina shida ila wakiwa waislam ni udini!! Mna mambo nyie wekeni idadi ya wakurugenzi toka hii nchi imeanza kujitawala tuone ni lini wakurugenzi waislam walikuwa wengi
 
Magu aliomba list ya Staff wote wa NSSF wote na Management yote ili ajiridhishe udini wa Dau…

Hao Waislam wote waliopo NSSF hawakufikia hata 40%

Akatazama kwny Management ya NSSF akakuta hawajafika 50% akaamini Maneno ya Mzee Mkapa kuwa ukiwasikiliza sana Wapumbavu utavuruga Nchi


Media zikajazana Kisutu kumsubiri Dr kumbe mwenzao anapokea Uteuzi Ikulu!
Hizo percentage ziliangaliwa kuanzia lini?..labda kabla hajaingia nssf ratio ilikua 90%waislam/wakristu Kwa 10%wakristu/waislamu..kama kulikua na influx kubwa ya upande mmoja tuu, lazima wadau wahoji unless kama ndio ilikua Sera ya shirika na kubwa la muhimu ni kwamba staff wote walikua ni watanzania au wageni wenye sifa za ziada kulisaidia shirika na Taifa Kwa ujumla.
 
Sijui haya majibishano yanakujaje hapa. nssf ni taasisi ya umma na inahudumia umma mzima wa watzania.

Hao wafanyakaz wa hapo wanaonana uso kwa macho na hao wananchi kila siku. Watu wanaeleza walichokuwa wanakiona.

Mbona simpo tu.
 
Makanisa yenu na Mawakala wenu walipewa fursa ya kuthibitisha huo udini wake kwa miezi zaid ya nane… mlipoufyata Rais akakumbuka ushauri wa Mzee Mkapa k uwa ukiwasikiliza sana 'Wapumbavu' utavuruga Nchi… akamteua kuwa Balozi


'…Changamoto ya uongo haipo kwny kuutunga na kuusambaza bali kwny kuutetea na kuuthibitisha…'-Dr Ramadhan Kitwana Dau
Hizo percentage ziliangaliwa kuanzia lini?..labda kabla hajaingia nssf ratio ilikua 90%waislam/wakristu Kwa 10%wakristu/waislamu..kama kulikua na influx kubwa ya upande mmoja tuu, lazima wadau wahoji unless kama ndio ilikua Sera ya shirika na kubwa la muhimu ni kwamba staff wote walikua ni watanzania au wageni wenye sifa za ziada kulisaidia shirika na Taifa Kwa ujumla.
 
44 Reactions
Reply
Back
Top Bottom