Ni kweli ALLAH atamsamehe kwa kuwa alitimiza maagizo yake. Lakini Mungu muumba wa mbingu na nchi, mwenye upendo kwa watu wote, hasietaka visasi (JEHOVA) hatomsamehe
Mkuu asante sana, za siku aisee? Nimemuona, ila sijui namfananisha na yule mzee alikuwa anasema waislam wawaue mapadri, sjui ndio huyu ama nimemix, anyway yaliopita si ndwele apumzike kwa amani mzee Ilunga
Allah Amsamehe makosa yake na amuweke katika bustani za peponi.
Baada ya kifo ni hukumu, ni wakati mwafaka mashitaka yake kuanza kusikilizwa mkuu. Kwani umesahau kuwa yupo Mungu wa kweli na wa haki? Kifo si mwisho bali ni mwanzo wa maisha ya milele either pamoja na Mungu au ahera pamoja na shetani.Amekufa kabla ya kujibu mashitaka? Sasa itakuwaje?
dar na mamba? mbona sijaelewa?
Mnashangilia kufariki sheikh Ilunga, mnahisi na dini ya kiislamu ndio imekufa sio? Watu kama akina Ilunga wapo wengi sana na ipo cku watasikika nao muwaombee vifo vilevile. Pia ninyi mtaishi milele ktk dunia hii kwani nahisi Mungu kawachagueni maalumu kwa ajili ya kuangalia nani jamii ya marehemu sheikh Ilunga kafariki na nani bado, dunia hii jamaa zangu, toeni maneno ya kejeli lakini iko siku nanyi mtafukiwa ardhini. :/
Chukua tahadhari kabla ya hatari. You could be next in line. Mungu hadhihakiwi,chochote apandacho mwanadamu ndicho atakachovuna.Ni pigo kubwa kwetu waislam ulijitaidi sana kutuamsha tulipolala inshallah tutayafanyia kazi mawaidha yako na ipo siku tutajikomboa kutoka kwenye mfumo kristo. Inalillah wainalilah rajiun
Chukua tahadhari kabla ya hatari. You could be next in line. Mungu hadhihakiwi,chochote apandacho mwanadamu ndicho atakachovuna.
Kazi ya Mungu haina makosa.
Hakuna mwanadamu anayeweza kushindana na kazi ya Mungu akabaki salama.
Mtu huvuna anachopanda. Inabidi kutawala sana ulimi,kwani ulimi ndio source ya madhara yote ktk maisha yetu. Hivyo ukiutumia vibaya,aliyekuumba anao uwezo wa kukuondoa ili usiharibu kazi yake.
Ni swala la muda tu kwa kila anayeingilia interests za Mungu wa kweli.
Serikali haijamkosaPoleni wafiwa....huyu jamaa alikuwa akitafutwa na serikali akapotea amekuja kuibuka mfu!
Mkuu asante sana, za siku aisee? Nimemuona, ila sijui namfananisha na yule mzee alikuwa anasema waislam wawaue mapadri, sjui ndio huyu ama nimemix, anyway yaliopita si ndwele apumzike kwa amani mzee Ilunga
Hakika sote ni wa allah na tutarudi kwake.
Mungu amlaze pema peponi.