Ni yupi huyu, tafadhali picha kama iko maana wengine hatumfaham! Poleni sana wafiwa, Mungu awatie nguvu
Acha upunguani wewe.
Unatakiwa kufanya utafiti huo kuhusu watoto ktk hali ya ustaarabu ili ueleweshwe,lakini ukiwa na jazba namna hiyo huenda hata ukweli ulioanza kuupinga hutakuwa tayari kuupokea.Muongo!Mnafiki!Unataka kusema wrote waliondoka ktk ulimwengu huu walitumia ulimi vbaya?Vp wanaokufa utotoni nayo walimkosea nn Muumba?
Ilunga amefariki huku bado hajakamilisha ndoto zake za kuwaua wakristo, nani ataenzi nafasi yake? Maustaadhi tujuzane tafadhali, Allah akbar, Allah akbar, Allah Akbar!
Duh atakuwa anafaidi ma-bikira 72 sasa hivi huko aliko
Ukielewa maana halisi ya kufa huwezi kuuliza swali ulilo uliza.Tahadhari ya nn, kufa ama?
Sawa mimi nitakufa wewe utaishi milele?
Sasa na hii nayo ni habari? Inaelekea UKAWA imeshawatoa akili kabisaaaa?