mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
Bora nimejua na mie
Jamani hii ya mabikira sio haki ya kila mtu. Mi nijuavyo mt.ume aliitumia hii myth ili kuwa-convice askari wake kuupigania uisl.am hata kwa kifo na alijua akiwaambia akitumia hii myth ya kupewa mabikira 72 baada ya kuifia imani ya ui.slam watakubali.
Ila kuna clip moja ya she.he mmoja anasema "wanawake acheni wivu, ruhusuni waume zenu kuongeza wake walau muwe wanne. Kumbukeni kwa habari yenu sasa kama hamjasikia kule peponi hamtakuwa peke enu. Kama ni presha itawapanda haswaaa, maana wame wenu watapewa mabikira wareeeembo 72"
Hii ndo ilinifanya nianze kufikiri tofauti. Anyway, kila mtu na imani yake.
By the way, Karibuni kwa semina ya Neno la Mungu itakayoongozwa na mwl. Mwakasege hapa Morogoro!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Haa! Makamu wa rais kahudhuria? Kweli msiba hauna ubaguzi.Ndio tumemaliza kumzika Marhum Sheikh Ilunga. Umma ni mkubwa sana sijapata ona, Makamu wa Rais ndio anajiandaa kuondoka ss hiv
Poleni wafiwa na Sheikh Ilunga RIPInnallillahi Wainna Lilah Rajuulun. Poleni wafiwa.
Baadhi ya wajumbe wa ukawa wakiongozwa na maalim seif na prof lipumba wamehudhuria mazishi ya shekh ilunga dar
Mkuu Ngongo, mbingu ni zaidi ya mabikira 72 (labda kama ndugu zetu wana mbingu tofauti na tunayoamini ktk Biblia maana sina elimu ya pepo) Kama pepo yao ni tofauti na mbingu takatifu ya Mwenyezi Mungu muumba vyote basi silimu ukafaidi hiyo migegedo!Duh JUMONG habari mbaya sana hii nilikuwa nafanya utaratibu wa kuslimu ili nikifa nifaidi mabikira 72.
Duh JUMONG habari mbaya sana hii nilikuwa nafanya utaratibu wa kuslimu ili nikifa nifaidi mabikira 72.
Nini chanzo cha kifo chake?
Poleni wafiwa.
Mkuu asante sana, za siku aisee? Nimemuona, ila sijui namfananisha na yule mzee alikuwa anasema waislam wawaue mapadri, sjui ndio huyu ama nimemix, anyway yaliopita si ndwele apumzike kwa amani mzee Ilunga
mkuu hujawahi msikia shekh mmoja hivi kwenye crip moja hivi anatoa mawaidha akisema mimi napenda wanawake wenene miss bantu, neema za allah hizo, mimi napenda tu, unakuwa na mwanamke mmoja kwani mama yako huyo? utacheka balaa!
Duh JUMONG habari mbaya sana hii nilikuwa nafanya utaratibu wa kuslimu ili nikifa nifaidi mabikira 72.
Mambo mengine upumbavu mtupu....sasa mwenye upendo gani tena awe na kisasi? Hakuna cha jehova wala jaluo...hao sio miungu...ni goi goi