Tanzia: Sheikh Omary Alhad wa msikiti wa Kichangani Magomeni, afariki dunia

Innalillahi wainnaa ilayhi raajiuun,ndugu zangu tukumbukeni siku hii kwani kila mtu itamfika,tusijisahau jamani.Mtu akifa anatakiwa aache vitu vtatu VYAKUDUMU ambavyo ndo vtakua faida ya kudumu kwake mpaka cku ya Qiyama.
1.Aache watoto wema ambao watakuwa wanamuombea dua kila.
2:Aache watu aliowapatia Elimu yenye manufaa,elimu ambayo itakuwa na faida kwa watu.
3:Aache amejenga Nyumba ya Ibada(msikiti)ambao watu watakuwa wanaabudia mpaka utakapo bomoka.Hakika huyo atakuwa na faida kubwa sana kwakuwa kila jema litakalofanyika ndani ya vitu hivyo vtatu basi thawabu zinaongezeka mpaka mwisho wa vitu hivyo.
 
Huyu alikuwa kundi gani? R. I. P sheikh

Wamaanisha nini ukiuliza... 'alikuwa kundi gani' ? He was a Muslim. A very nice person indeed. Charming. He was loved by everybody. Allah awajaalie nduguze subira. Na Allah amghufirie madhambi yk
 
Hayo maneno yana maana tofauti?R.I.P Sheikh Omary Alhad.
Mpendwa Plm !! No ndugu yangu haya maneno ni Aya moja inayomaanisha kuwa " kila kiumbe ni cha mwenyeezzi Mungu ( ALLAH) na vyote vitarudi/vitarejea kwake" ( mara nyingi siye hutumia kuifaraji msiba/misbani ilikuimarisha imani juu muumba ) !!Kwa lingine hilo la R.I.P in halina mshiko wa la hata thamani kwani mwanaadamu ahana amri yakutoa juu ya maiti !!Usinielewe vibaya.... Wellcom 24/7 kwa roho mkunjufu.
 
Hayo maneno yana maana tofauti?

R.I.P Sheikh Omary Alhad.
Soma hapa chini...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un-(Arabic:-إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ‎) is a part of a verse from theQur'an-which translates to "Surely we belong to-Allah-and to Him shall we return".-The phrase is recited by Muslims when a person experiences a tragedy in life,-especially upon hearing news that a person has died.The phrase is also recited in situation that involve risk of any sort.
 
Mpendwa Plm !! No ndugu yangu haya maneno ni Aya moja inayomaanisha kuwa " kila kiumbe ni cha mwenyeezzi Mungu ( ALLAH) na vyote vitarudi/vitarejea kwake" ( mara nyingi siye hutumia kuifaraji msiba/misbani ilikuimarisha imani juu muumba ) !!Kwa lingine hilo la R.I.P in halina mshiko wa la hata thamani kwani mwanaadamu ahana amri yakutoa juu ya maiti !!Usinielewe vibaya.... Wellcom 24/7 kwa roho mkunjufu.

Mkuu Zamiluni hiyo tasiri naifahamu, nimeona kwenye zile "quotes" mmeandika kwa spelling tofauti, ndiyo maana nikauliza kama inaleta maana tofauti au ni "typo"

Soma hapa chini...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un-(Arabic:-إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ‎) is a part of a verse from theQur'an-which translates to "Surely we belong to-Allah-and to Him shall we return".-The phrase is recited by Muslims when a person experiences a tragedy in life,-especially upon hearing news that a person has died.The phrase is also recited in situation that involve risk of any sort.

Angalia post ya juu
 
Back
Top Bottom