dos santos
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 256
- 128
Taarifa zilizotufikia muda si mrefu zimearifu kutangazwa kwa kifo cha Sheikh maarufu nchini Ali Mzee Comorian kilichotokea leo muda wa kuingia nyakati za adhuhuri.
Taarifa zinasema kifo cha Sheikh Comorian kinafuatia kuugua kwa muda mrefu kulikopelea kutokea kwa kifo chake.
Sheikh Comorian atakumbukwa na wengi kwa mapenzi yake yasio kifani katika kumpenda Mtume Muhammad ﷺ.
Aidha mbali na kutoa Da'awa katika shughuli nyingi za kiislamu pia Sheikh Comorian alikuwa ni mtunzi wa Qaswida na kiongozi wa kikundi cha Qaswida cha Ahbaabur Rasuul.
Moja ya Qaswida aliyotunga na kupata umaarufu mkubwa Afrika Mashariki ni 'Tumpendeni'.
Kifo cha Sheikh Comorian kimeacha simanzi kubwa kwa watu wenye mapenzi na Mtume Muhammad ﷺ.
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun (انا لله وانا اليه راجعون😉 Sura Al-Baqara, aya 156.
Source: Ahbaabur Rasuul