H1N1
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 4,217
- 1,579
Kwa kuandika hivo usidhani kuwa wewe ndio mkristo pekee humu jf.....pia watu wanatakiwa kuelekezwa neno na si kutishwa...waeleze wataelewa
Kama unaonea aibu Ukristo wako ina maana unacheka nao ukitazamana nao usoni na kuwang'ong'a wakikupa kisogo.huo ni unafiki sio Ukristo.
unao wajibu wa kuhubiri habari njema kwa kila kiumbe.
Yesu Kristo akubariki...